Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Clouds ipo na itaendelea kuwepo bila hata dozen ukisikiliza XXL anayefanya kipindi kinoge pale ni Mchomvu kina bdozen wamefunikwa na mchomvu na ukifuatilia siku mchomvu asipokuwepo show inapoa sana kwa ubunifu clouds haitegemei kichwa kimoja Mzee hilo ulielewe ndio maana watangazaji wao wakienda hata media zingine hawashine kama walivyokuwa clouds rejea Gadner alivyoenda Times, nenda kwa Ray mshana na yule mwanamke walivyoenda wasafi njoo kwa Maestro alivyoenda e-fm na wengine wengi BTW chukua hii kila mtangazaji Tanzania hii ndoto yake ni kufanya kazi Clouds media kuanzia salary, fursa na bata la watangazaji pale asikuambie mtu, Kingine bdozen siyo wa kuajiriwa e-fm siyo level zake Elimu yetu imetuathiri sana kutegemea ajira ndio kila kitu jamaa angebase kwenye biashara zake za nguo na kuitangaza zaidi Born to shine, Mwisho kabisa HII NI SAFARI YA KUELEKEA Wasafi media.
Huwa mnapata wapi ujasiri wa kupangia watu maisha yao wakati maisha yenu binafsi mnashindwa kuyapangilia
 
Ukiangalia hii clip ndio utajua aliemuondoa kazini BDozen ndio huyo aliye zuia nyimbo za Diamond zisisipigwe na hiyo kauli aliitoa wiki iliyopita.

Sababu hata yeye mwenyewe alisema "nipo tayari kufukuzwa kazi"
Nisaidie kumbaini mkuu

Sijammanya bado
 
Dunia inaenda kasi sana, jana tu leo kila kitu kishachange
 
Alie achiwa viatu vya Ruge Naona vinampwaya Hakika Clouds imerudi hatua nyingi nyuma sanaa isije kuwa ndo tutaendelea kuwa sahau [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom