Hamisi Taletale na PhD ya USD 2,500

Ifike wakati huu udaktari na uprofesa wa kujibandika ubaki kwa waganga wa kienyeji na wasanii, vinginevyo tutazidi kuchanganya mambo.....

Mimi mwenyewe ni mchawi sasa nataka Doctoral kwa Uchawi wangu!
Sijui niende nchi gani ili nipewe?
 
😂😂😂 Hii nmecheka mpanda kidogo nipindue gari, mngepata breaking news kuna gari imegonga Fuso uso kwa uso,
Unashika simu huku upo na chombo Cha Moto mkuu. Huoni kuwa Ni hasara kwa Taifa letu ukiwa huyathamini maisha yako lakini. Lazima upewe adhabu
 
Acheni kujificha kwenye mafanikio ya diamond kuhalalisha hiyo ph.D yenu uchwara ya TaleTale yaani seriously unatoa mfano wa Newton na Babu tale!!..

Mafanikio ya Diamond ni juhudi zake binafsi na kuwa na kipaji cha uvumbuzi na sio kwa juhudi za TaleTale wala yeyote yule,wewe jiulize kabla ya Diamond TaleTale alikuwa meneja wa muda mrefu sana wa Madee,Pingu na Deso,Tundaman,Mb Dogg na wengine kibao hao aliwafikisha wapi!? Mbona alishindwa kuwafikisha hao kimataifa!?

Yaani katika wasanii 20 aliowahi kuwasimamia ni mmoja tu ndio katoboa kimataifa then unampa reputation ya kwamba kafanya makubwa kwenye tasnia..Hapo ukifanya success rating ni 10/100 ya mia ambayo hadi hapo ni fail na ndipo tunaporudi kwenye hoja kwamba kutoboa kwa mond ni juhudi zake binafsi mostly
 
Usingenitukana coz siyo mimi nimesema ni babu tale mwenyewe kasema.

Diamond analipa kodi ya zaidi ya billion 1 kwa mwaka.
 
Dr. Honorable Hamis Shaban Taletale [emoji23]

Noma sana pesa inanunua kila kitu sio PhD tu hata Degree wananunua na wanaajiri wahitimu FAKE (wa mchongo) kila angle
Ndio maana wasomi wa kibongo wanadharauliwa. Hawana uwezo wa kuajiriwa nje ya Tz. Wataendelea kuajiriana humu humu kimchongo
 
Mambo ya humu ukiyafuata utajisumbuwa tu, kuna watu wanatembea Kwa kichwa humu badala ya miguu.

Sasa usishangae mtu yupo speed 120 huku anaperuzi JF.
Najua mkuu. Maana yake kajieleza kwa namna watu wajue.
 
Biashara ya PhD ya heshima inalipa. Nafungua kibanda cha kuuza PhDs za heshima kwa watanzania wote bila kujali tabaka au chama. Bei pendekezo Tsh 5000 tu per PhD. Tanzania oyee.
 
View attachment 2511319
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500

Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
huyu mpuuzi anatakiwa kushtakiwa kabisa huyu. yaani anataka aseme ati kwakuwa amewatoa kina domo ati naye ana mchango kwa taifa pumbavu
 
Usingenitukana coz siyo mimi nimesema ni babu tale mwenyewe kasema.

Diamond analipa kodi ya zaidi ya billion 1 kwa mwaka.
Sawa yeye ndo kasema... wewe kwanini utuletee hapa kauli hiyo ya kipuuzi?! Bilioni moja "1" anayolipa huyo bwana inakunufaisha wewe au walalahoi wa taifa hili unafkiri?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…