TCU waingilie kati hawa watu wasiruhusiwe kutumia title ya Dr, wanashusha hadhi ya taaluma, wanaleta sintofahamu kwenye jamii na kusababisha fedheha kwa wasomi. Kuna wasomi wazuri kabisa waliobobea, sababu wana Masters hawawezi kutumia title ya Dr. Lakini hawa vihiyo wa std. seven wanaruhusiwa kutumia title ya Dr. kirahisi rahisi tu kisa ni wabunge. Kwa kweli nadhani kama spika ameliongelea hili, TCU wajitafakari.....