Hamisi Taletale na PhD ya USD 2,500

Hamisi Taletale na PhD ya USD 2,500

TCU waingilie kati hawa watu wasiruhusiwe kutumia title ya Dr, wanashusha hadhi ya taaluma, wanaleta sintofahamu kwenye jamii na kusababisha fedheha kwa wasomi. Kuna wasomi wazuri kabisa waliobobea, sababu wana Masters hawawezi kutumia title ya Dr. Lakini hawa vihiyo wa std. seven wanaruhusiwa kutumia title ya Dr. kirahisi rahisi tu kisa ni wabunge. Kwa kweli nadhani kama spika ameliongelea hili, TCU wajitafakari.....​
 
View attachment 2511319
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500

Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani

Narudia hapa USA mfano haya mambo hayatokei kwasababu hakuna mtu anajali kama una PHD au hauna. PHD sanasana inasaidia watu ambao wanataka kuwa walimu na kuna watu nafanya nao kazi wana PHD wala hakuna mtu anawachukulia tofauti hivyo. Tanzania ni kwamba tunakuza sana hizi PHD ndiyo maana wanajadiliwa. PHD hata za sheule ni utafiti tu na mara nyingi haina uhusiano kabisa na kazi au utendaji. Magufuli alishidwa kwenye biashara ya Korosho wakati PHD yake ilihusu Korosho
 
Kishimba akili kubwa Ana akili za kuzaliwa nazo...
Darasa la 7 lakini amesimamia biashara kubwa na hakutetereka
Akiongea anaongea kwa hoja
Ila hao wengine wapiga kelele tu

Ova
Huyu alipaswa kupewa kihalali kabisa!
 
Dr.Taletale anastahili PHD kamtoa Diamond kimataifa kashinda uchaguzi bila kupingwa
 
  • Kishimba yule anastahili kabisa PhD. Akili kubwa sana ile lakini kama taifa tumeshindwa kuitafsiri na kutumia akili yake kutatua matatizo mbalimbali
  • Spika kwa kweli haki yake kwenye hili tumpe amelitendea bunge na taifa haki kabisa kwa spana alizopiga kuhusu PhD fake. Hongera sana Tulia kwenye hili tupo pamoja na wewe.
  • Waziri wa elimu kwa hili ametuangusha sana kwani anataka kufunika kombe mwanaharamu apite. Hapana aisee Mkenda haujaitendea haki taaluma yako na taifa kwa ujumla.
  • Nimemkumbuka Kairenugaba Msemakweli yeye alitunga kitabu kabisa na akawataja wakubwa wote wenye PhD fake kwa majina yao bila kupepesa. Huyu mwamba alifanya utafiti wa hali ya juu kabisa. Wakubwa wengi walitishia kwenda mahakamani lakini kwa kuwa walikuwa na PhD fake hakuna hata mmoja aliyeenda mahakamani. Lakini baada ya hapo sijui jamaa alipotolea wapi sijamsikia tena sijui kilimkuta nini.
 
TCU waingilie kati hawa watu wasiruhusiwe kutumia title ya Dr, wanashusha hadhi ya taaluma, wanaleta sintofahamu kwenye jamii na kusababisha fedheha kwa wasomi. Kuna wasomi wazuri kabisa waliobobea, sababu wana Masters hawawezi kutumia title ya Dr. Lakini hawa vihiyo wa std. seven wanaruhusiwa kutumia title ya Dr. kirahisi rahisi tu kisa ni wabunge. Kwa kweli nadhani kama spika ameliongelea hili, TCU wajitafakari.....​
Hivi hao "wanaozawadiwa" hizo PhD za mchongo, ni kwanini hawajiulizi, Mwalimu Nyerere na Masters degree yake ya darasani ya Oxford University ya miaka Ile ya 50, hakutaka kabisa kuitwa Dkt pamoja na kukaa madarakani Kwa miaka zaidi ya 23 mfululizo?😎
 
Narudia hapa USA mfano haya mambo hayatokei kwasababu hakuna mtu anajali kama una PHD au hauna. PHD sanasana inasaidia watu ambao wanataka kuwa walimu na kuna watu nafanya nao kazi wana PHD wala hakuna mtu anawachukulia tofauti hivyo. Tanzania ni kwamba tunakuza sana hizi PHD ndiyo maana wanajadiliwa. PHD hata za sheule ni utafiti tu na mara nyingi haina uhusiano kabisa na kazi au utendaji. Magufuli alishidwa kwenye biashara ya Korosho wakati PHD yake ilihusu Korosho
Waambie ukweli hawa mapimbi wa ccm!
 
TCU waingilie kati hawa watu wasiruhusiwe kutumia title ya Dr, wanashusha hadhi ya taaluma, wanaleta sintofahamu kwenye jamii na kusababisha fedheha kwa wasomi. Kuna wasomi wazuri kabisa waliobobea, sababu wana Masters hawawezi kutumia title ya Dr.​
Ujinga wako tu. Newton alipewa uprofesa na kufundisha chuo kikuu akiwa hana hata shahada ya kwanza; kilichozingatiwa ni uvumbuzi wake wa nguvu ya uvutano (gravitational force) na mengine yakiyofuata.

Diamond alianza muziki kwa wimbo wake maarufu wa Mbagala, mbele ya nyumba jalala. Huyu babu Tale aliyemuibua Diamond toka jalalani mbagala kumfikisha hapa alipo kuna ubaya gani kutunikiwa udaktari wa heshima?

Mbona hawa wanaoliangamiza taifa wakipewa hizo heshima hamsemi?

Have we lost our civility to this extent?

Acheni wivu. Babu Tale more than deserves that honor.
 
Sidhani nina wivu lakini unadhani kumuibua Diamond au mtu mwingine yeyote ni sawa na kuvumbua law of physics ambayo aliifanyia tafiti na mpaka leo haikuwa kupingwa??

Sijajua kama Dr. Taletale ametunukiwa shahada hii kwa sababu ya kumuibua Diamond au kwa sababu ya jambo muhimu kama hilo la mvumbuzi wa gravitational force! Ningependa unisaidie sababu ya kutunikiwa shahada hii ya Dr. Taletale.
 
Ujinga wako tu. Newton alipewa uprofesa na kufundisha chuo kikuu akiwa hana hata shahada ya kwanza; kilichozingatiwa ni uvumbuzi wake wa nguvu ya uvutano (gravitational force) na mengine yakiyofuata.

Diamond alianza muziki kwa wimbo wake maarufu wa Mbagala, mbele ya nyumba jalala. Huyu babu Tale aliyemuibua Diamond toka jalalani mbagala kumfikisha hapa alipo kuna ubaya gani kutunikiwa udaktari wa heshima?

Mbona hawa wanaoliangamiza taifa wakipewa hizo heshima hamsemi?

Have we lost our civility to this extent?

Acheni wivu. Babu Tale more than deserves that honor.
Yaani upewe honorary doctorate na reputable university kwa kumuibua diamond!? aisee hii nchi imejaa vilaza.......
 
Back
Top Bottom