Hamissa Mobetto ametua Jana akitokea Dubai, Diamond yuko wapi kwa sasa?

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Jana Hamisaa alionekana ndani ya Pipa from Dubai to Tanzania tayari kwa uzinduI wa filamu aliyoshiriki kuigiza ya Zero P. Hivi kwa sasa Diamond yuko Pande zipi za dunia? Naomba nijibiwe jamani
 
Sio kwa milly pekee wapo wambea wengine nimesoma huko

Ila mond kumlipia hamisa ndege kwenda na kurudi bila kusain dili lolote ngumu sana. Kama wana mahusiano hamisa atateseka sana,zari anavumilia mengi.
Kuuza papa uongo Milly mwenyewe anaotea tu

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mondi ni hamisa ni washenzi sana tuu sisi mashabiki maandazi kazi tunayo
 
kwani hii picha inaonyesha wako kitandani?
 
Sio kwa milly pekee wapo wambea wengine nimesoma huko

Ila mond kumlipia hamisa ndege kwenda na kurudi bila kusain dili lolote ngumu sana. Kama wana mahusiano hamisa atateseka sana,zari anavumilia mengi.
nilikuwa mmoja kati ya waliokuwa wana scream dnt forgive him, i wish angetusikiliza
 
Na sifa za mitandaon kuitwa kiboko ya fulan atamuachia nani. Wanawake sie akili zetu uwiii sijui nani alitulegezea nati za ubongo
Inasikitisha sana anaonyesha dunia nikiasi gan asivyo na staha
 
Sio kwa milly pekee wapo wambea wengine nimesoma huko

Ila mond kumlipia hamisa ndege kwenda na kurudi bila kusain dili lolote ngumu sana. Kama wana mahusiano hamisa atateseka sana,zari anavumilia mengi.
Walikua pamoja acha picha iliyovuja kuna clip amesnap misa[emoji1] [emoji1] [emoji1] dai anaongea anamuita sallaam sk daah

Niwe mkweli Zari mwenyewe ndo anataka yote haya kama aliweza kumuacha Ivan aliyeishi nae for 15yrs anakubali vipi kudhalilishwa na hiki vitoto(Misa na daily)au ndo hana pa kuegamia

Diamond anakosea sana ht km kick as he said kua lile soo la kuzaa na mobeto limempandisha ila kama hamtaki amuache Dada wa watu

Hamisa nae anakosea au ndo analipiza kama yeye alivyoibiwaga Majay na Lulu?
Mi Leo sijapenda maana I know how it feels when somebody's akikuchit tena hadharani

Da zari tafuta age mate!![emoji125] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuna kitu anakitaka ndo maana kaona bora kusamehe kuliko kuchukua maamuzi ya kuachana
nilikuwa mmoja kati ya waliokuwa wana scream dnt forgive him, i wish angetusikiliza
 
Sio kwa milly pekee wapo wambea wengine nimesoma huko

Ila mond kumlipia hamisa ndege kwenda na kurudi bila kusain dili lolote ngumu sana. Kama wana mahusiano hamisa atateseka sana,zari anavumilia mengi.
Diamond hamheshimu Zari kabisa, mark my word! Yaani ni ile " akufukuzae hakwambii toka" yaan Domo kamchoka tukinao ni ile tu basi

Mi mtu wa karibu kabisa na Domo kaniambia uhusiano wa tununu na domo uko vile vile na Domo kafa kaoza kwa chuchunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…