Zimbabwe Mixxed! Sasa unaweza kutuma pesa kwa haraka na usalama mpaka Zimbabwe. Piga *150*01#, alafu 4 nje ya nchi na utume sasa au tumia? Mixx Super App.NO REFORMS, NO ELECTION.
Zimbabwe Mixxed! Sasa unaweza kutuma pesa kwa haraka na usalama mpaka Zimbabwe. Piga *150*01#, alafu 4 nje ya nchi na utume sasa au tumia? Mixx Super App.NO REFORMS, NO ELECTION.
Alijiendeleza kitu kama hichoKweli!!?, Mi nilisikia ana ya sanaa na u mc!
😄😄😂😂,,je kipanya?
Diploma 👆👆
Yeye ndiye aliyeteua hao mawaziri, kabla ya hapo ilididi apewe za ndani juu ya hao mawaziri wake vilaza aliokuwa anawachagua.JK hakua tume ya kitaaluma ya ithibati mkuu! Na uwaziri hauna standard iliyowekwa kibongobongo zaidi ya kuwa mbunge kwanza, na ubunge ni kujua na kusoma so alikuwa right kwa mujibu wa wapiga kura waliompa wabunge achague mwenye nafuu kati yao!
Wewe unaingiza siasa Sasa Mimi sijaenda huko,Mbona wakati wa udawała wa Kikwete mawaziri wengi sana walikuwa na degree za kijinga ambazo hata hazijulikani lakini wakapewa uwaziri na kuboronga wizara zao huku JK akiwachekea tu kwa kutojuwa kazi zao.
Daah!! Huyu Mulugo alikuwa kiazi haswa!!Komredi Philip Mlugo
Daah!! Huyu Mulugo alikuwa kiazi haswa!!Komredi Philip Mlugo