TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Aende evening class...mbona rahisi tu? Hivi hawa waligoma kuwa 'chawa' wa watu nini? Ama huu muhimili wa 'nne'-Journalism umeamua kukita mizizi sasa.karudia kazi yake ya comedy
Aende evening class...mbona rahisi tu? Hivi hawa waligoma kuwa 'chawa' wa watu nini? Ama huu muhimili wa 'nne'-Journalism umeamua kukita mizizi sasa.karudia kazi yake ya comedy
hizo evening class za uandishi zipo vyuo kibao daslamu dogo kamaliza tumaini ya mwenge pale wao ni uvivu tu wa kukaa darasani kupiga MEMKWA ya uandishi wanataka umaarufu uwabebe!Aende evening class...mbona rahisi tu? Hivi hawa waligoma kuwa 'chawa' wa watu nini? Ama huu muhimili wa 'nne'-Journalism umeamua kukita mizizi sasa.
Vyeti wananunua na kutengeneza sana ni certificate & diploma hivyo vya degree rahisi sana kushtukiwa watu wanazingatia sana.Eti anunue cheti (degree) kama mawaziri wetu wa Kitanzania, hii kali na naona alishajishitukia kuwa angekamatwa tu.
Kwahiyo ikiwa ulipata zero 4M4 unaweza kusoma uandishi wa habari?hizo evening class za uandishi zipo vyuo kibao daslamu dogo kamaliza tumaini ya mwenge pale wao ni uvivu tu wa kukaa darasani kupiga MEMKWA ya uandishi wanataka umaarufu uwabebe!
We mkali duh!Hapa katikati radio ziliajiri hadi watu wasiojua kusoma na kuandika kwahiyo kujiendeleza siyo kazi rahisi inabidi uanze kufundishwa kuumba Herufi
Zembwela aiseee! Nilimuona wakati anaZembwela miaka nenda rudi alitakiwa ajiongeze akasome
Ina maana hata kununua cheti alishindwa 😄
Ova
Ni DiplomaStashahada ndo cheti?
Yule si alikuwa kwenye kipindi cha uswazi ITVZembwela aiseee! Nilimuona wakati ana
Mhoji Makonda akiwa RC Arusha! Aisee unaona kabisa Zembwela hana kabisa skills za uandishi wa habari!! Ni kituko!! Yaani anahoji udaku udaku!! Fani ya uandishi ilivamiwa!! Sasa isafishwe!! Kama vp Zembwela na wengine kama yeye wakasome!! Then warudi kutembeza bahasha!! Ndo watajua kuheshimu fani za watu!!
😎
Kuna mdau humu ana z3mbwela ana certificateZembwela aiseee! Nilimuona wakati ana
Mhoji Makonda akiwa RC Arusha! Aisee unaona kabisa Zembwela hana kabisa skills za uandishi wa habari!! Ni kituko!! Yaani anahoji udaku udaku!! Fani ya uandishi ilivamiwa!! Sasa isafishwe!! Kama vp Zembwela na wengine kama yeye wakasome!! Then warudi kutembeza bahasha!! Ndo watajua kuheshimu fani za watu!!
😎
Kwa umaarufu ule anakinunuaje? Inabidi tu arudi darasani hakuna namna.Zembwela miaka nenda rudi alitakiwa ajiongeze akasome
Ina maana hata kununua cheti alishindwa 😄
Ova
Hapana,stashahada ni diploma,cheti ni astashahadaStashahada ndo cheti?
Kwani aliishia darasa la ngapi?Zembwela miaka nenda rudi alitakiwa ajiongeze akasome
Ina maana hata kununua cheti alishindwa 😄
Ova
Wakate rufaa.wale ni watangazaji mjuba, miaka mingi waliyoifanya kazi hiyo bila hivyo vyeti totally wanastahili kutunukiwa tuzo za umahiri
Watu wenye akili hamuhitajiki nchi hiiHuu sasa nao utakuwa ujinga mwingine tena kuwala vichwa watangazaji wakubwa kama wale waliojizolea umaarufu kwenye tasnia hii. Nani asiyejua uwezo wa kitenge kwenye spoti leo pale radio one na zembwela na super mix pale east africa raddio? Hii bodi ingechora mstari tu kama kwenye ualimu. Kulikuwa kuna walimu wa upe, wakaja wa grade B na A, kisha wakaja walimu wa diploma na degree, hawa wa madaraja ya chini hawakuondolewa kazini mpaka wakastaafu na wengine walijiendeleza wapate viwango vya juu kiasi cha kubadilishiwa muundo wa utumishi wao na madaraja ya mshahara kulingana na ngazi ya elimu waliyonayo. Hii bodi ya ithibati kwa waandishi ingetambua tu kuanzia basic certificate na siyo waanzie diploma.
Uandishi wa habari unanyambulikaje? Vipi kwa mfano Mwandishi wa Script ya filamu naye anatakiwa diploma?.huo ni utaratibu wa huko ulaya hapa waandishi sheria yao ilishasema mwisho diploma kama unataka kuwa mwandishi wa habari!