Elimu ya habari?Mwijaku ana elimu kubwa tu. Ule uchawa ni uvivu wa kutumia akili.
Mtu hawezi kukaa darasani miaka kadhaa alafu akawa hajui kitu ila yule ambaye hajasoma ndio akawa anajua. Anaweza kuzidiwa ubunifu, passion n.k lakini sio kwamba hajui kituUle msamiati wa kanjanja kwenye uandishi ni sawa na ule wa voda fasta kwenye ualimu nyakati zile. Ni misamiati ya wivu, utakuta wanaojiona ndio wenye taaluma huwaona wageni wanaokuja kwa wingi kwenye taaluma kuwa hawajui kitu huku wao wakibaki na ukale bila mabadiliko chanya katika tasnia. Watu wapya huja na ubunifu kulingana na teknolojia iliyopo. Hii bodi ya ithibati kwa waandishi itabaki ni dude lililobung'aa kama inzi aliyenaswa na utando wa buibui unadhani ni mzima kumbe ameishanyonywa ndani. Teknolojia ya habari na mawasiliano inakua kwa kasi ya ajabu sana, bodi haitaweza kudhibiti waandishi
Naona poa tu wapungue watu waliokuwa wanafanya upuuzi kwenye media walifanya shamba la bibi media! mtu anajua komedi au mwigizaji au kapata kaumaarufu kidogo kichaka ilikuwa media wabaki influenzaTetesi nimeskia waajiriwa lazima kuwa na vyeti...
So wengi wanapigwa chini
huyu kama hana ndugu janjajanja alikuwa kwenye media basi yeye mwenyewe ndo wale wa elimu sio muhimu muhimu ni kipaji kwenye utangazaji na uandishiMtu hawezi kukaa darasani miaka kadhaa alafu akawa hajui kitu ila yule ambaye hajasoma ndio akawa anajua. Anaweza kuzidiwa ubunifu, passion n.k lakini sio kwamba hajui kitu
Tume ya waandishi wa habari!Zembwela siwasikii siku hizi!!
Wameliwa vichwaWazee wa minyama Kitenge na Zembwela siwasikii siku hizi!! Au hiyo bodi ya waandishi ishakula vichwa!?
Du basic certificate tu mkuu.Huu sasa nao utakuwa ujinga mwingine tena kuwala vichwa watangazaji wakubwa kama wale waliojizolea umaarufu kwenye tasnia hii. Nani asiyejua uwezo wa kitenge kwenye spoti leo pale radio one na zembwela na super mix pale east africa raddio? Hii bodi ingechora mstari tu kama kwenye ualimu. Kulikuwa kuna walimu wa upe, wakaja wa grade B na A, kisha wakaja walimu wa diploma na degree, hawa wa madaraja ya chini hawakuondolewa kazini mpaka wakastaafu na wengine walijiendeleza wapate viwango vya juu kiasi cha kubadilishiwa muundo wa utumishi wao na madaraja ya mshahara kulingana na ngazi ya elimu waliyonayo. Hii bodi ya ithibati kwa waandishi ingetambua tu kuanzia basic certificate na siyo waanzie diploma.
huo ni utaratibu wa huko ulaya hapa waandishi sheria yao ilishasema mwisho diploma kama unataka kuwa mwandishi wa habari!Kwani kwenye hizo media houses hakuna News Trainee programs kama BBC au CNN? Maana akina Richard Quest, Fareed Zakaria, Anderson Cooper, Sanjay Gupta, Wolf Blitzer na wengineo hawakusoma journalism ila walipata tu intership na trainee programs zinazoendeshwa na mashirika kama BBC, CNN na kadhalika.
naunga mkono mwanabodi, watu wamewekeza halafu jitu limepata tu umaarufu linasema mimi mwandishi wa habari au mtangazaji...waende darasaniHii ni nzuri.
Fani ilivamiwa, ukiwa na kaumaarufu tu, basi wewe ni mwanahabari na mchambuzi maalum
kabisa hao manesi tu lazima wasajiliwe na kupewa leseni...hata waganga wa kienyeji wanaotuunganisha na freemason na wao kuna takwa wasajiliwe na baraza la tiba asili sasa hawa waandishi walikuwa ndio taaluma ambayo ukijua kusoma na kuandika na ukawa na kaumaarufu kidogo tu unaenda kujipachika humo!!Kitabu kiheshimiwe jamani, watu wamesota huko darasani, Elimu inadhaurika mjue.
Waje kwa makeshia na wahasibu pia siyo kujua kalikuleta unajifanya mhasibu.
Sema waTZ wengi wanafanya kazi kwa mazoea!! Ndo mana kwa mf waandishi unakuta full blah blah na kusifia upumbavu halafu fact ziro kabisaa🚮noma sana huenda tukaanza kuona mabadiliko kwenye vyombo vya habari upuuzi ulizidi yule masanja amesomea kumbe naendelea kumsikia
wengi weupe sana yaani...unasikiliza redio au TV maswali wanayouliza wakati wa interviews mpaka unajiuliza "huyu ni mtangazaji kweli? kasomea? au wamemuokota sehemu wakampa microphone aje aulize maswali, weledi ulikuwa sufuri kabisa!Sema waTZ wengi wanafanya kazi kwa mazoea!! Ndo mana kwa mf waandishi unakuta full blah blah na kusifia upumbavu halafu fact ziro kabisaa🚮