Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 1,040
- 1,002
Hawana hiyo taaluma. Hata kama walikuwa radio miaka 40wale ni watangazaji mjuba, miaka mingi waliyoifanya kazi hiyo bila hivyo vyeti totally wanastahili kutunukiwa tuzo za umahiri
Hawana hiyo taaluma. Hata kama walikuwa radio miaka 40wale ni watangazaji mjuba, miaka mingi waliyoifanya kazi hiyo bila hivyo vyeti totally wanastahili kutunukiwa tuzo za umahiri
Naungana na zakayo mfupi. Huwesi kuwa daktari kwa kuwa umekuwa unashinda kwenye korido za sewa hajji Muhimbili, wakikukuta wenyewe wewe ni daktari feki,tapeli mixer mnyonya damu. Ni jela mojakwamoja. Kwenye media pia hivyo hivyo, huwesi kwenda aljazeera pale ukasema mimi ni MC shupavu nipeni hayo makaratasi niende hewani! Watakuhoji Ebooh weye mutu una wazimu!?wale ni watangazaji mjuba, miaka mingi waliyoifanya kazi hiyo bila hivyo vyeti totally wanastahili kutunukiwa tuzo za umahiri
Cheti ni Cheti,Stashahada ndo cheti?
Mavi weenye taaluma zao wamewalalamikiawale ni watangazaji mjuba, miaka mingi waliyoifanya kazi hiyo bila hivyo vyeti totally wanastahili kutunukiwa tuzo za umahiri
Ohoo?! Kwa hiyo hawa wazee wa maneno wanatakiwa kuwa na diploma kumbe!?Cheti ni Cheti,
lakini kwa muundo wa kielimu Iko hivi
Certificate - astashahada
Diploma - Stashahada
Postgraduate Diploma - Stashahada ya uzamili
Bachelor of / Degree - Shahada
Masters - Shahada ya Umahiri
Dr/PhD - Shahada ya Uzamivu.....
Waliomtumia kueneza propaganda hao hao ndio wanamla kichwa.Kitenge ndo alianzisha calculation za kuwaondoa wamasai loliondo, jamaa atakua alipiga pesa Sana pale.... Ila karma itakutana nae tu
huo mfano hauna uwiano na hoja yangu. Taaluma ya habari ni pana sana, inanyumbulika kama amoeba, amoabic/paramesium. Huwezi kuifananisha na udaktari. Sema ni terms/regulatory and rules ndizo huwekwa ili tu kupata cream wa kufanya kazi kwenye taasisi ya habari husika. Wengine wao hutaka wenye degree tu. By the way hata mwenye certificate tu aki conduct ethics of journalism inatosha kufanya kazi hiyo kwa welediNaungana na zakayo mfupi. Huwesi kuwa daktari kwa kuwa umekuwa unashinda kwenye korido za sewa hajji Muhimbili, wakikukuta wenyewe wewe ni daktari feki,tapeli mixer mnyonya damu. Ni jela mojakwamoja. Kwenye media pia hivyo hivyo, huwesi kwenda aljazeera pale ukasema mimi ni MC shupavu nipeni hayo makaratasi niende hewani! Watakuhoji Ebooh weye mutu una wazimu!?
ni wivu tu,Mavi weenye taaluma zao wamewalalamikia
Safi sana ilifika mahali nikaacha kabisa kusikiliza redio za bongoZa ndani zinasema bodi ya ithibati ya waandishi imekula vichwa! hata mawingu kule nasikia wanapita
watabaki wenye degree tuIsije ikafikia huku members wote wakatakiwa kujisajili
Nipe mfano wa nchi ambayo watu wa taaluma ya habari wanajifanyia tu kwa kuwa haihitaji darasa! Ili tupendekeze wafute vyuo vya habari na utangazaji havina maana. Looks like hii ni taaluma ya kujua kusoma na kuandika baasi!huo mfano hauna uwiano na hoja yangu. Taaluma ya habari ni pana sana, inanyumbulika kama amoeba, amoabic/paramesium. Huwezi kuifananisha na udaktari. Sema ni terms/regulatory and rules ndizo huwekwa ili tu kupata cream wa kufanya kazi kwenye taasisi ya habari husika. Wengine wao hutaka wenye degree tu. By the way hata mwenye certificate tu aki conduct ethics of journalism inatosha kufanya kazi hiyo kwa weledi
Wembe ni ule ule 😃Kwa mtindo huu, je wachambuzi wa soka na siasa kwenye media nao watatakiwa kuwa na elimu gani?
Kwani umeambiwa hawajaenda shule, certificate inatosha kuanzia kufanya kazi hiyo mjuba, usi complicate mamboNipe mfano wa nchi ambayo watu wa taaluma ya habari wanajifanyia tu kwa kuwa haihitaji darasa! Ili tupendekeze wafute vyuo vya habari na utangazaji havina maana. Looks like hii ni taaluma ya kujua kusoma na kuandika baasi!
Kwa hiyo sisi tulioishia la tatu hamtutaki humu?watabaki wenye degree tu
hii bodi ya ithibati ni rungu na si kibokoKwa hiyo sisi tulioishia la tatu hamtutaki humu?