Hamjagundua watangazaji vituo vya redio wameanza kung'olewa!?

Hamjagundua watangazaji vituo vya redio wameanza kung'olewa!?

Kitabu kiheshimiwe jamani, watu wamesota huko darasani, Elimu inadhaurika mjue.
Waje kwa makeshia na wahasibu pia siyo kujua kalikuleta unajifanya mhasibu.
Kitabu hakiwezi kuheshimiwa sana kama kuna wajinga wanafanikiwa kuingia Bungeni, wajinga wengine wanakuwa madiwani na wajinga sana ndio wanakuwa wajumbe wa kutuchagulia wagombea.
 
Kitenge kwa hiyo saivi hana ajira?
Namuona yuko jogging ya wasafi mara kwa mara mbona?
 
Hii ni nundo sema kwenye digital world ni sawa na kazi bure tu.
Hawa hawahangaiki na users shida yao ni wale wanaofanya kazi za journalism bila kuwa certified! Ni kama ERB ukipractice uhandisi bila ithibati ya ERB linakukumba ndo wanachofanya sasa hivi hao jamaa...hawahangaiki na wahororokaji kwenye social platforms
 
Back
Top Bottom