Hamjagundua watangazaji vituo vya redio wameanza kung'olewa!?

JK hakua tume ya kitaaluma ya ithibati mkuu! Na uwaziri hauna standard iliyowekwa kibongobongo zaidi ya kuwa mbunge kwanza, na ubunge ni kujua na kusoma so alikuwa right kwa mujibu wa wapiga kura waliompa wabunge achague mwenye nafuu kati yao!
Yeye ndiye aliyeteua hao mawaziri, kabla ya hapo ilididi apewe za ndani juu ya hao mawaziri wake vilaza aliokuwa anawachagua.
 
Mbona wakati wa udawaΕ‚a wa Kikwete mawaziri wengi sana walikuwa na degree za kijinga ambazo hata hazijulikani lakini wakapewa uwaziri na kuboronga wizara zao huku JK akiwachekea tu kwa kutojuwa kazi zao.
Wewe unaingiza siasa Sasa Mimi sijaenda huko,
nime generalize tu kua ni rahisi sana kushtukiwa ukiforge cheti Cha degree mzee rahisi sana kuliko hivi vyeti vya certificate na diploma vya city college
 
Komredi Philip Mlugo
Daah!! Huyu Mulugo alikuwa kiazi haswa!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nchi hii imepitia aibu za hovyo sana!! Aliwahi enda nje akapewa Kipara Kila Alick ongea hakuna mtu alikuwa anaelewa!! Ilikuwa reported mpaka kwenye media!! Yaani jamaa alikuwa ilimradi liende!!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Komredi Philip Mlugo
Daah!! Huyu Mulugo alikuwa kiazi haswa!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nchi hii imepitia aibu za hovyo sana!! Aliwahi enda nje akapewa Kipaza Kila Alichoongea hakuna mtu alikuwa anaelewa!! Ilikuwa reported mpaka kwenye media!! Yaani jamaa alikuwailimradi liende!!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fujo zilikuwa nyingi sana....
Acha wapumzishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…