mkuu uliniambia nisigawe hovyo nilihisi nilipaswa like nikupe wewe tu ok kila pahali palipohitaj like shade nipite
ok hiyo
kazin leo nimeingia nimengoja niitwe mkuu hakuna hata kwa bahati mbaya inaonekana ukuu ni wa hapa jukwaani tu
Sio mchezo mchezo natakiwa nidai pia
sasa balaa lilikuwa kwenye kukupatia like's nne ila nimefanikiwa nlitaka kukupa kama star's vile ranking
Hapana huku ni kutafakari,tafakuri jadidid,michanganuo,upembuzi yakinifu na tamathali za semi.😵He kwan hii ni badoo ?
Ukuu upo utaona tu mbeleni. Uwe unajichanganya majukwaa mbali mbali kutoa mawazo yako. Jukwaa la siasa liache kwanza hadi uwe mwenyeji(au lipotezee mazima),ukiingia kichwa kichwa unakula ngumi za uso.
Hapana humu pia pana vimbwanga vya kufa mtu mara watake picha mara mwingine atake kukupakata
Kulikoni huko kwenye jukwaa la siasa mkuu hili jina mkuu linanipa shida mno
sawa ntakupa zakutosha hakuna ukomo ? nisijepewa hiyo ban
sasa hayo sio matusi mkuu ? mbona ulisema kuna ban ? au kuna ambao haiwahusu
Jana ulisema nikajela kadogo kadogo sasa nikajiuliza humu mnavitu mwaoffer ila hakuna bonus mwisho wa mwaka inakuwaje