Hamjambo ?

Hamjambo ?

Ukuu upo utaona tu mbeleni. Uwe unajichanganya majukwaa mbali mbali kutoa mawazo yako. Jukwaa la siasa liache kwanza hadi uwe mwenyeji(au lipotezee mazima),ukiingia kichwa kichwa unakula ngumi za uso.
kazin leo nimeingia nimengoja niitwe mkuu hakuna hata kwa bahati mbaya inaonekana ukuu ni wa hapa jukwaani tu
 
Ukuu upo utaona tu mbeleni. Uwe unajichanganya majukwaa mbali mbali kutoa mawazo yako. Jukwaa la siasa liache kwanza hadi uwe mwenyeji(au lipotezee mazima),ukiingia kichwa kichwa unakula ngumi za uso.

Kulikoni huko kwenye jukwaa la siasa mkuu hili jina mkuu linanipa shida mno
 
Wanakuzingua tu kama una hasira ya haraka unaweza tukana ukala ban. Unajua maana ya ban?
Hapana humu pia pana vimbwanga vya kufa mtu mara watake picha mara mwingine atake kukupakata
 
Hata mie linanipa shida,silitumiagi sana. Aah huko unaweza itwa mbulula,kilaza na majina ya kero mengi(uwanja wa vita huo)
Kulikoni huko kwenye jukwaa la siasa mkuu hili jina mkuu linanipa shida mno
 
Hapana huku ni kutafakari,tafakuri jadidid,michanganuo,upembuzi yakinifu na tamathali za semi.😵

Kiswahili kigumu hiko cha kisiasa kweli kweli na nimeambiwa kwenye siasa nisisogee sogee niache kwanza hum sio pa mchezo mchezo ee ?
 
Hata mie linanipa shida,silitumiagi sana. Aah huko unaweza itwa mbulula,kilaza na majina ya kero mengi(uwanja wa vita huo)

sasa hayo sio matusi mkuu ? mbona ulisema kuna ban ? au kuna ambao haiwahusu
 
Wanakuzingua tu kama una hasira ya haraka unaweza tukana ukala ban. Unajua maana ya ban?

Jana ulisema nikajela kadogo kadogo sasa nikajiuliza humu mnavitu mwaoffer ila hakuna bonus mwisho wa mwaka inakuwaje
 
Kabla ya kujiunga humu,nilikua naisoma kama mgeni nikapata uzoefu mwingi ndio nikajiunga,wewe umeijulia wap jf?

Back
Top Bottom