Hamjambo ?

Kuna maujanja yapo jukwaa moja hivi ngoja nikutag huko ukajifunze ukiweza niambie. Unaweza jifunzia hapa au huko huko
Poa mkuu vip unakuta wengine wame quote maandishi yanaonekana ya blue au mekundu wanafanya mautundu gani na wanamaana ipi
 
Hii platform iko tofauti kidogo na zingine kwanza naona futures baadhi nazipata leo tangia ni signup jana so ni vingi bado hum sijavipata
Kuna tofauti kubwa sana kati ya neno "FEATURES" na "FUTURE"

Hii lugha ya malkia ilikuja na meli ndugu yangu badala ya kututesa ni bora kutumia kiswahili chetu ambacho siku hizi kina ladha nzuri sana mdomoni na ukitaka kujua uzuri wa kiswahili au maswaibu ya lugha ya malkia muulize Baba Janet
 
Wana jukwaa hamjambo ?

Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani

nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema

Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama


Njoo kwa matusi tu ila hauruhusiwi kutusalimia kama ulivyofanya hapa. Hilo ni kosa la jinai kwani utaweza kukamatwa na kutiwa ndani.
 
Njoo kwa matusi tu ila hauruhusiwi kutusalimia kama ulivyofanya hapa. Hilo ni kosa la jinai kwani utaweza kukamatwa na kutiwa ndani.

Mkuu yaani hadi salam inamakosa ? nlikuwa sijui huku watu ni wakuu ila nishapatiwa somo na Numbisa
 

Ulikuja vizuri ila hii nafsi ya tatu uliyoitaja hapa mwisho hapana nikosa lakimtandao kabisa mkuu
 
Hazina msaada ni kionjesho tu cha kukuongezea hali ya kuendelea kuchat na kufurahia kubadilishana mawazo na wanachama wenzio humi.

naruhusiwa kulike mara ngapi kwa siku mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…