Hamkutaka kujifunza kupitia Bukinafaso na Zaire ya Mobutu mlitegemea nini? Mmesahau kuwa viongozi wanaolinda rasimali za umma ni muhimu kwa maendeleo?

Hamkutaka kujifunza kupitia Bukinafaso na Zaire ya Mobutu mlitegemea nini? Mmesahau kuwa viongozi wanaolinda rasimali za umma ni muhimu kwa maendeleo?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Watu wa Bukinabe walimuua Thomas Sankara wakarudi nyuma na leo ni masikini wa kutupa.

Thomas Sankara alitoa uhai wake kutetea masikini na raia wanyonge kama hayati JPM wa Rubambangwe Chato.

Vipi kuhusu Patrice Lumumba? Alisalitiwa na wenzake. Kama leo hii watanzania wanavyosalitiwa na wenzao kisa tu kujaza matumbo yao.
 
Naona unamtetea dikteta uchwara.
Mungu fundi aliamua kumpoteza ili tulioumizwa na yule mshamba tupone na tumepona sasa tunalamba asali.
 
nkipata fursa ya kupata uraia wa nchi ambayo ina ufadhali kidgo haijalishi iwe AFRICA . ntahamia mimi na familiayangu niwaachie Ujinga wenu.

Am sick and tired of this stupid country
 
Back
Top Bottom