MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ya wapi hiyo Deep?Mwenye matokeo ya SAVIAK SEKONDARI ayaweke Hapa[emoji2960]
[emoji38][emoji38][emoji38] au nawe wa Ruangwa Lindi a k a kwa Majaliwa PM?Mtoa mada apuuzwe
Ukanda TU umemjaa, Hana la ziada
Aisee kumbe hawavumi ila na wenyewe wamo?Shule ziko moshi bwana... kitabu kinapigwa sana na waalimu wako committed.
Sema tu ndo shetani ameamua kuelekeza mashambulizi yake ya ushoger Ukanda huo...
Hizi akili za kipumbavu hivi kweli hawa ndio great thinkers...JF imevamiwa na vitoto vya facebook wallah tena.View attachment 2502630
Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop.
Ogopa mikoa ifuatayo
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
Zanzibar
Na mikoa ya jirani na hiyo.
Hii ndo mbinu mpya ya mashoga waliokuja nayo, hatupaswi kumshangaa bali kumuelewa tu.View attachment 2502630
Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop.
Ogopa mikoa ifuatayo
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
Zanzibar
Na mikoa ya jirani na hiyo.
Wewe ni muongo mkubwa sana mbwa weweView attachment 2502630
Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop.
Ogopa mikoa ifuatayo
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
Zanzibar
Na mikoa ya jirani na hiyo.
Kwa hiyo Tanzania inaizidi elimu na utaalam Qatar,Iran, Turkey?!Ilim huwa haichangamani na Elimu. Mtoto kaanza kulazimisha mfumo wa kutoka kulia kwenda kushoto kwa kukariri kwa viboko na kuimba kwa kurudia rudia kitabu kimoja tuu alichoaminishwa kuwa kina elimu zote na ukimaliza umekuwa daktari, engineer, mwanasheria, mwalimu nk . Halafu anakutana tena na mfumo mwingine rasmi wa vitabu vingi wa kutoka kushoto kwenda kulia ambao ni WA kuelewa sio wa kukariri, unatarajia ataelewa kitu?
Siyo ukanda..udini,ana lengo lakeMtoa mada apuuzwe
Ukanda TU umemjaa, Hana la ziada