DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Watoto hawana content kichwani. OvaView attachment 2502630
Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop.
Ogopa mikoa ifuatayo
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
Zanzibar
Na mikoa ya jirani na hiyo.