Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

kweli singida ni miongoni mwa mikoa migumu sana kiuchumi sababu haina mzao ya biashara mfano mpunga wafugaji pamba ufuta mbao nk hata hao wachaga wenye viduka pale wako hoi

mkuoa mwingine ni kagera tabora dodoma mrogoro mjini shinyanga mjini msoma na wilaya zake
 

Ushirikina ni giza, wanyiramba na wanyaturu ni wachawi na washirikina wakutupa, hapawezi kuwa na heri, hilo wingu limetanda mabalaa.
 
Wewe utakuwa umepata za uso na kisha umekuja kuchafua watu huku..

Kunywa Maji kwanza mkuu
 
Singida na Dodoma ni kulwa na doto.
Dodoma unaisingizia labda kama ushindani umekutoa kwenye game..

Mda mfupi nimekaa Dodoma nimegundua biashara ya maziwa fresh na mgando ni kama hakuna yaani Kila mgahawa hasa mtaani hakuna maziwa kabisa..

Mie mda mwingi Niko Sumbawanga na Mbeya ,kule biashara ya maziwa fresh na mgando inalipa sana na vilinge viko vingi so mtu akianzisha anaweza piga biashara..

Ni muhimu kuwahi Ili u make jina kabla wengine hawajakuiga
 
Mimi nilifika manyoni hapakunivutis kwakweli Ile Hali ya kijangwa jangwa Big NOO kwa kweli.

Sijui wenyewe wanaishiji kule.
Waarabu wangekata tamaa kwa lile jangwa leo hii kungekuwa na Dubai. Wewe ni mfano halisi wa akili zetu waafrika. Akili zetu zinaona matatizo tu ndo maana tunaenda sana kwa waganga na viongozi wa dini kutaka miujiza
 
Mimi nimeishi dodoma maisha ni ghali kama Dar ila sasa pesa yenyewe hakuna, mzunguko ni mdogo sana.

Ila kwa watumishi ni pazuri na wanapapenda kwa sababu ni mji mdogo so hata mizunguko yake usafiri etc, mtu hapati shida.
 
Pakavu kote huko uliko taja boss.
 
Ushirikina ni giza, wanyiramba na wanyaturu ni wachawi na washirikina wakutupa, hapawezi kuwa na heri, hilo wingu limetanda mabalaa.
Nasikia wanaloga sana japo shuhuda sikuwahi kuwa nazo ila ni tetesi zilizopo.
 
Umekaa singida hujanywa maji mazuri dogo ongea na watu vizuri maji yapo safi tena kama ya dukani vile. Na ukiona wenzako wanatoboa ww umeshindwa usijiulize sana jua kwamba huna ustaarabu wa pesa.

Nikisema ongea na watu vizuri ni swala pana iweje ukae singida ukose totoz zenye kutoa mahaba na kujua kuhudumia mwanaume.

Itakua ww ndio tatizo usiwalaumu wanyaturu wala wanyiramba
 
Wewe upo dodoma sasa hivi au singida maana kote huko nimeishi, ila dodoma kibiashara panaamka, siyo sawa na singida japo walikuwa sawa tu.
 
Nilikwenda singida Nina bajaji mbili tvs pmj na kirikuu namba d niliondoka na kirikuu tu vingenvyo ningejinyonga kbsa [emoji41]

Nilianza biasha nzuri tu tena nikaleta na mrejesho huku [emoji23] juu ya biashara inavyo performance laula la kwata sijamaliza hta miaezi miwili bishara nilirekodi loss ya hatari sijaka sawa nikafunga biashra Kisha nibaki na babji aloo kill siku mm na police au Bajaj kupinduka nilikimbia kusiko julikana Hadi leo nimevitelekeza vyombo vyangu vya kazi kule
Kuna uchawi singida siyo mchezo unapiga jujuu unabaki kuwanenepeaha wanyaturu tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…