Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

Maziwa yanakusanywa kutoka vijiji jirani au kuna kiwanda ?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… full stop Doctor...
 
Bandugu vipi kwa kahama je panalipa for bussines
KAHAMA Panalipa sana mkuu, amini kwamba huwezi fail.... watu wanaona kama tunaiponda singida, ila point ya msingi hapa ni kuwa singida bado mpaka leo mzunguko wa pesa ni mdogo sana,

Una mtaji wa milioni 30 faida kwenye biashara ni ya kawaida na mauzo ni ya kawaida sana.
Biashara ni za msimu tu na msimu ukifika utauza kawaida pia.
 
"Musoma" ni mkoa?? Sikujua aisee!
 
Uzi umejaa wajinga wajinga wasiojielewa,ina maana Singida nyumba nzuri tunazojenga tunatumia makande kujengea sio pesa?,ni wavivu pekee ndio wataona Singida kugumu
 
Uzi umejaa wajinga wajinga wasiojielewa,ina maana Singida nyumba nzuri tunazojenga tunatumia makande kujengea sio pesa?,ni wavivu pekee ndio wataona Singida kugumu
Wanyiramba kaka huwa mnajifanya wajuaji sana, angalia kasoro zilizopo mrekebishe siyo kupinga kila kitu.

Singida upo ugumu lakini wazawa siyo chanzo, serikali nayo ina mchango mkubwa na hawajawaona kwenye uwekezaji baadhi mfano tu Elimu ya vyuo vikuu na vidogo singida ipo nyuma. Serikali itoe mchango wake.
Kubali singida ni kijijini kiasi.
 
Huo mkoa Ovyo wanaume wake waoga wa utafutaji mpaka kwenye maisha ya mtaani.
Japo ndio mkoa pekee Tanzania Hauna kikosi cha jeshi hata kimoja
 
Mkuu we huijui singida pale Kuna chuo cha uhazili,veta,tia chio cha afya pale hospital ya mkoa,chuo cha ualimu lake,chuoa cha ualimu singida sec,chuo cha maji,chuo cha ualimu st Carolas kule juu na mavyuo mengine kibao mpk ya utalii
Pale singida nilifungua goli la chips nikatajirika
Huenda we ulikua sgd vijijini kiongozi
 
Kwani hivyo vyuo vya ualimu na Veta ndo vinaleta mzunguko wa pesa? Wengi ni watoto wa wskilima ndo wanao enda kwenye hivyo vyuo.
 
Heshimu +254 ndo nchi imenitoa kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…