Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

[emoji28][emoji28][emoji28] +254 imekutoa kimaisha kabisa.
wallah Tena just within two good years of working I managed to buy a plot and build a [emoji117]mansion house in Dsm(nyumba ambayo mastaa wanatamba nazo IG[emoji16])
[emoji117]Na usafiri wangu tako la nyani sio haba
 
kuna jamaa yangu alifungua duka la simu singida mshahara alioambilia ni kufuta vumbi mashelifu mwisho wa mwezi

ila wanyaturu ukitaka kuwapiga za utosi subiri wakishavuna alizeti
 
Mishe gan unapiga huko kenha mkuu
 
wallah Tena just within two good years of working I managed to buy a plot and build a [emoji117]mansion house in Dsm(nyumba ambayo mastaa wanatamba nazo IG[emoji16])
[emoji117]Na usafiri wangu tako la nyani sio haba
Hongera mkuu....
 
kuna jamaa yangu alifungua duka la simu singida mshahara alioambilia ni kufuta vumbi mashelifu mwisho wa mwezi

ila wanyaturu ukitaka kuwapiga za utosi subiri wakishavuna alizeti
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kweli....
 
wallah Tena just within two good years of working I managed to buy a plot and build a [emoji117]mansion house in Dsm(nyumba ambayo mastaa wanatamba nazo IG[emoji16])
[emoji117]Na usafiri wangu tako la nyani sio haba
Kwa ambae hajawai kufika Kenya unaweza kimwelezea kuwa ni nchi ya namna gani kiuchumi wa raia mpambanaji na kijamii? Tunahtaj maon yako tafadhari
 
Singida nenda na mtaji kalime alizeti vinginevyo ndo kama hivyo.
 
Mimi nipo singida na ninafanya biashara mwaka wa 5 huu.namuunga mkono mtoa mada..kuhusu huko namanyere ulikokutaja na maeneo mengine ya rukwa nimefika na kupazunguka vyema napajua huwezi linganisha na hapa Singida.

kwanza hapa mzunguko wa pesa ni mdogo sana.kimsingi kwa mtaftaji hapafai kwakua ukipata sana utaishia kupata hela ya kula.hapa labda uwe mtumishi ndio utaishi vizuri lkn ujue ukistaafu unarudi kuanza moja.
 
Hizo ni shida zako binafsi. Kama wewe umefeli miaka 5 usihusishe wengine.
 
Ukweli mtupu, singida hapafai nilikaa kama wiki pale kutafuta kazi yoyote niliambulia sifuri, hata ile yakumwaga zege hupati bila kuwa mwenyej
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…