Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
hivi ni nyuzi za hivi tulisema tuwe tunawaignore sio? Ndugu zake akina tlatla na mwashambwaKwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuwawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi make mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi Kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu Kila mtu afe na chake ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo tanzania na huna hata pistol utatekwa utapotezwa na hakuna atakaekukumbuka maana Sasa hivi fuatilieni Kila mtu na maisha yake
Yani hawa tuwa ignore hadi wawe wanajiongelesha peke yaohivi ni nyuzi za hivi tulisema tuwe tunawaignore sio? Ndugu zake akina tlatla na mwashambwa
MmhKwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuwawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi make mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi Kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu Kila mtu afe na chake ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo tanzania na huna hata pistol utatekwa utapotezwa na hakuna atakaekukumbuka maana Sasa hivi fuatilieni Kila mtu na maisha yake
Watu kuingia mtaani siyo kazi tatizo ni mfumo wa siku ya maandamano ...kuna aina za maandamano watu wanajikuta kwenye maandamano watake wasitake ...aina hii inaingiza dini zote vyama vyote jinsia zote umti wowote ...hapa inakuwa ngumu kwa makundi ya kigaidi ya kiislamu ya samia na abdul kutambua muandamanaji na mtu wa kawaida na kuweza kuwaua kirahisi kwa minajili ya dini....maandamano yanatakiwa yaanzie mjini siyo nje ya mji ...tena yawe ni siku za kazi siyo siku za mapumziko au sikukuu ...tena kukiwa na huduma ya usafiri full yani mabasi yote ya abiria yawe barabarani kama kawaida ...hiyo inamaanisha hiyo siku ipo activeKwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuwawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi make mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi Kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu Kila mtu afe na chake ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo tanzania na huna hata pistol utatekwa utapotezwa na hakuna atakaekukumbuka maana Sasa hivi fuatilieni Kila mtu na maisha yake