Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Nilikutana na manzi mmoja nikawa nae kimahusiano, kabla hajanijua sana nafanya mishe gani na kiuchumi nikoje alikuwa na masharti sana, kwanza nilikuwa nikitaka utamu mara kwa mara akadai ye hajazoea na hawezi so nikawa naambulia mara 1 kwa mwezi ðŸ˜ðŸ˜, ikaenda mambo yakawa kibao, ikawa nakula tunda zaidi ya mwezi kupita, yaani utaambiwa yuko kwenye siku za hatari ukisema mtumie ndom anasema ye ndom hasikii utamu 😋😋 so subiri nikiwa siku salama ntakupa, ukiomba siku nyingine atapata dharura.
Badi siku moja nikamchukua shopping akajigalagaza madukani mpaka akakoma. Nikaendelea kufungua wallet vizawadi vya hapa na pale, then baada ya wiki 2 nikaomba mchezo nikapewa, zikapita siku mbili nikaomba tena nikapewa bila malalamiko, nikawa nishapata majibu ya utafiti wangu nikaamua nisiomne tena gemu tumalize kiivyo, huwezi amini yeye ndio kila mara akawa ananitafuta analalamika mbona simuiti au nimepata mwingine. Ikafikia hatua mpaka akitoka period zile siku za hatari napiga tu anasema liwalo na liwe 🤣🤣🤣.
USHAURI: Ukiona mwanamke wako anakutawala hasa linaookuja suala la kula tunda masharti yanakuwa mengi kama huna pesa za kupotezea nae muda achana nae atakusumbua. Na dawa yao ukishamjua mhudumie then akinogewa pita hiviii.