Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Sijuwi wanaume wenzangu mlivyo, yaani mimi mke wangu akijihusisha tu na ujinga wa dini hizi za kuletewa nampa talaka. Nilimwacha mke wangu wa kwanza kwa ujinga huu huu wa kuamini Mchungaji wake, nilimpigia sana kelele mwanzoni akawa anisikii. Kwa kuwa mi si mvumilivu nilimtwanga talaka haraka sana baada ya kuona anamfanya Mchungaji wake kuwa kila kitu kwake. Miezi michache baada ya kuachika kwangu, rafiki wa mke wangu alimfumania Mchungaji anamla uroda rafiki yao. Nikaja shangaa eti siku ya siku anakuja nipigia simu kusema kuwa Mchungaji wake kafukuzwa kanisani kwao baada ya kufumaniwa anamla uroda muumini wake. Akaachana na kanisa na kuomba nimrudie nimemkatalia ila watoto wake wanakwenda kumtembelea alikopanga na kurudi nyumbani. Cha hajabu sasa, mambo yangu yananiendea vizuri baada ya kuachana na huyu Mama mpenda dini za kuletewa. Nadiriki kusema HAKUNA mchungaji wa kweli, wote ni wasanii tu hata na mapadri na mashekhe.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aloo nyie waamini wa afande Mohammad mna hatari kweli, kwa hiyo peponi mtapewa mabikra bora zaidi kila muislam atayefika huko. Hivi hamstuki vichwa tu kuwa hizo dini mnapigwa!!?
 
Huo ni mtazamo wako.
 
Bongo utakuta mtu anaitwa Mohammed Juma Abdullah anakwambia hana jina la ukoo lenye asili ya kwao, lakini huko Afrika Magharibi waislam wana majina asili kabisa kama NGOLO KANYE, SADIO MANE etc, Bongo tunaona utamadani wa watu ndio ujanja
Wanadai kuwa siku ya mwisho eti MUNGU hatatuita kwa majina ya ukoo bali kwa majina yetu ya Ubatizo,labda ndio maana hao Unaowasema wanaamua Kutumia tu majina ya kidini.Lk binafsi naona si sawa, hakuna ubaya Kutumia Majina yetu ya Kimila.
 
Mchungaji akitaka gari anawachangisha waumini wake ili anunue ila muumini akitaka gari eti aombewe. Ridiculous.

Na bado mtu hashtuki tu.
 
Wanadai kuwa siku ya mwisho eti MUNGU hatatuita kwa majina ya ukoo bali kwa majina yetu ya Ubatizo,labda ndio maana hao Unaowasema wanaamua Kutumia tu majina ya kidini.Lk binafsi naona si sawa, hakuna ubaya Kutumia Majina yetu ya Kimila.
Mlidanganywa
 
Una maarifa machache Sana. Mambo ya rohoni, hutambulikana kwa jinsi ya rohoni.
 
Mtu akifa shahidi atapewa wanawake BIKRA 72 wenye matiti yaliyosimama na macho ya duara.

Je mwanamke atapewa nini?
Thubutuuu!! Jamaa anakusubiri kwa hamu kubwa, huku ameshika uma mrefu futi saba wenye meno mawili akiwageuzageuza watu kama maandazi kwenye mafuta yanayochemka!
Chicho lekunduuu liking'aa hatariii!
 
Acha mazuzu yapigwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…