Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Umeandika upupu..nenda kwa wahindi..nenda kwa wachina..wanaabudu dini zao asili..sio hizi za masharik ya kati.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo unazoita dini zao asili ni imani za mababu zao huko katika kipindi chao kama ilivyo kwa jamii nazo wazee wao walikuwa na imani zao kwa kipindi chao, kwahiyo kama wao wahindi wameamua kufuata imani za mababu zao huko ni uamuzi wao wameona zinafaa ila haina maana kwamba vitu vya mababu huko ndio vilikuwa sahihi kisa ni vya asili. Hata wewe leo ukiona imani za walizokuwa nazo mababu zako ndio zinakufaa basi upo huru kufuata ni suala la uamuzi ila tusiaminishiane kwamba imani za hao mababu ndio sahihi kisa ni mababu zetu masuala ya dini si sawa na kushabikia taifa stars kwa kigezo cha uzalendo.
 
Shetani ni nguvu kuu ya uasi.Duniani kuna nguvu kuu mbili Mungu au Shetani mwanadamu amepewa uamzi wa kuchagua upande autakao
Kwanini kuwe na nguvu mbili tu kwani binaadamu hana nguvu pia?
 
Kuna watu wana PhD lakini wanapigwa kiboya tu.
Ukiwa extremist unapigwa tu. Kuwa na kiasi, hoji, dadisi, tafiti, fanya maamuzi sahihi
PhD ya wapi hiyo Mkuu labda ya kaptula sio ya kusoma kweli..yaani sasa hivi hata wabovu unawaona wana PhD ni uongo uongo tuu kichwani huyo hata akipewa dili la kufuga nyoka atakubali mimi wachache wenye PhD za ukweli ni vichwa balaa huwezi kuwaeleza ujinga wako wakakuelewa..
 
Kila mtu anahaki ya kuabudu Mungu kwa imani anayoipenda.
 
Sijajua ni kwanini Wakristo wamekuwa wakisadikishwa na kuaminishwa na wao haraka haraka huamini na mwishowa siku hujikuta wakiwa mateka wa kifikra.

Visa vingi sana tumeviona na tumevishuhudia vya watu kuuziwa kijifuko cha chumvi tu hii ya dukani kwa shilingi laki moja huku wakisadikishwa kuwa inaleta utajiri na kumfukuzia mbali pepo mchafu alitaye ufukara.

Tumeona watu wakisadikishwa kuwa ukipada mbegu utacuna lolote ulitakalo, mathalani, unataka kuwa Mkurugenzi wa bandari, au unataka kuwa daktari mkuu na wewe elimu yako ulikomea darasa la nne A, basi panda mbegu,inenee na wewe utavuna jambo ulitakalo.

Wakristo wameaminishwa kuwa kina St. John, St. Peters, St. Richard na wazungu wengine waliokufa zamani ndio wanaweza kutuombea.

Mizimu ya kizungu, wala haikujui je inawezaje kukuombea? Mizimu ambayo haina hata uhusiano na wewe?

Omba kupitia mizimu ya kwenu, achana na hao wahuni wa kimagharibi, wanachotaka kutoka kwako ni sadaka tu.

Wanahubiri upendo na hawana upendo, hata marehemu Benjamin Williams Mkapa alichana na upadre baada ya kuona huko kwenye mission kumejaa gjiriba, chuki , ubaguzi na upendo haukuwepo.

Mapadre wazungu walikuwa wakiwanyanyapaa na kuwaona mapadre weusi kama takataka halafu wakipanda madhanahuni wanajidai wanahubiri upendo.

Hizi dini zichunguzeni kwa kina, kisha zirekebiswe huenda zikawa bora kidogo
Una maarifa machache Sana. Mambo ya rohoni, hutambulikana kwa jinsi ya rohoni.
 
Hizo unazoita dini zao asili ni imani za mababu zao huko katika kipindi chao kama ilivyo kwa jamii nazo wazee wao walikuwa na imani zao kwa kipindi chao, kwahiyo kama wao wahindi wameamua kufuata imani za mababu zao huko ni uamuzi wao wameona zinafaa ila haina maana kwamba vitu vya mababu huko ndio vilikuwa sahihi kisa ni vya asili. Hata wewe leo ukiona imani za walizokuwa nazo mababu zako ndio zinakufaa basi upo huru kufuata ni suala la uamuzi ila tusiaminishiane kwamba imani za hao mababu ndio sahihi kisa ni mababu zetu masuala ya dini si sawa na kushabikia taifa stars kwa kigezo cha uzalendo.
Din za watu weupe zmekushika vzur nyie ndo laana kwa hiki kizazi Cha watu weusi
 
Din za watu weupe zmekushika vzur nyie ndo laana kwa hiki kizazi Cha watu weusi
Mkuu dini sio sawa na kushabikia taifa stars kwamba ni suala la uzalendo. Mimi hapa natoa mawazo yangu kwa uhuru kabisa wala sijaegemea dini yeyote labda wewe unayechanganya masuala ya rangi za watu na dini.
 
Sijajua ni kwanini Wakristo wamekuwa wakisadikishwa na kuaminishwa na wao haraka haraka huamini na mwishowa siku hujikuta wakiwa mateka wa kifikra.

Visa vingi sana tumeviona na tumevishuhudia vya watu kuuziwa kijifuko cha chumvi tu hii ya dukani kwa shilingi laki moja huku wakisadikishwa kuwa inaleta utajiri na kumfukuzia mbali pepo mchafu alitaye ufukara.

Tumeona watu wakisadikishwa kuwa ukipada mbegu utacuna lolote ulitakalo, mathalani, unataka kuwa Mkurugenzi wa bandari, au unataka kuwa daktari mkuu na wewe elimu yako ulikomea darasa la nne A, basi panda mbegu,inenee na wewe utavuna jambo ulitakalo.

Wakristo wameaminishwa kuwa kina St. John, St. Peters, St. Richard na wazungu wengine waliokufa zamani ndio wanaweza kutuombea.

Mizimu ya kizungu, wala haikujui je inawezaje kukuombea? Mizimu ambayo haina hata uhusiano na wewe?

Omba kupitia mizimu ya kwenu, achana na hao wahuni wa kimagharibi, wanachotaka kutoka kwako ni sadaka tu.

Wanahubiri upendo na hawana upendo, hata marehemu Benjamin Williams Mkapa alichana na upadre baada ya kuona huko kwenye mission kumejaa gjiriba, chuki , ubaguzi na upendo haukuwepo.

Mapadre wazungu walikuwa wakiwanyanyapaa na kuwaona mapadre weusi kama takataka halafu wakipanda madhanahuni wanajidai wanahubiri upendo.

Hizi dini zichunguzeni kwa kina, kisha zirekebiswe huenda zikawa bora kidogo

mtoa mada umefikiri kitu kikubwa hata mwanasayansi hawezi kugundua. ulilosema ni kweli kabisa tunaona makanisa mengi kama zambia zinavyowafanya vibaya wanawake kuwaongesha kuwatia vidole kwa kitumia neno utabarikiwa ni aibu sana hapa kwetu vilema wamejaa mahospitali hawaponi eti eti wanaopona ni wale wanaenda kwa mchungaji. kuna watu masikini na mafakiri wamejaa mitaani lakini ukienda eti kwa mchungaji unamsikia mtu anawaongepea wenzake kuwa mchungaji kamuombea kajenga nyumba kapata kazi na sasa anagari
 
Tatizo kila mtu amejipa uwezo wa kutafsiri Mkristo ni nani. Yaani hao uliowataja ni Wakristo pia? Basi hata waganga wa kienyeji wanaovaa suti nao tuwaite Wakristo. Zumaridi nae atakuwa Mkristo na Bujibuji naye mkristo.

Na any fool pia ni Mkristo... Panya wote ni Wakristo pia!
 
Ni kweli shahidi atapewa wanawake hur al ayni ...na si shahidi tu bali kila mwanaume atakaefuzu kuingia peponi atapewa hur al ayni ( ambao ni bikra, yaani hakuna mwanaume aliyewahi kuwagusa isipokuwa yule atakaetunukiwa na ALLAH).
Mwanamke anapewa nini sasa hapo ndo swali lilipo
 
Mtu akifa shahidi atapewa wanawake BIKRA 72 wenye matiti yaliyosimama na macho ya duara.

Je mwanamke atapewa nini?
Hilo swali nakumbuka nilimuhulizaga ostadh mmoja akacheka cheka tu mwishowe ili anajua akaniambia Kati ya hao bikra wana kuwa pamoja nao
 
Ndio maana yake. Mkristo OG humkuti anapumbazwa na maujinga ujinga. Cheki hii kitu aliyosema Yesu ambaye ndiye mmiliki wa Ukristo:

"Mimi ndimi nuru ya ulimwengu,yeye anifuataye mimi hatakwenda gizani kamwe bali atakuwa na nuru ya uzima" YOHANA 8:12

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Eti Yesu ndiye mmiliki wa ukristu!
 
Back
Top Bottom