Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Wanadai kuwa siku ya mwisho eti MUNGU hatatuita kwa majina ya ukoo bali kwa majina yetu ya Ubatizo,labda ndio maana hao Unaowasema wanaamua Kutumia tu majina ya kidini.Lk binafsi naona si sawa, hakuna ubaya Kutumia Majina yetu ya Kimila.
Wasauzi na hao West Africans, hawatafika mbinguni Kwa muktadha huo!
Haa haaa inasikitisha pia inachekesha, kina Nani walifika huko mbinguni wakatuletea huo mrejesho!?
 
Sijajua ni kwa nini baadhi ya Wakristo wamekuwa wakisadikishwa na kuaminishwa na wao haraka haraka huamini na mwishowa siku hujikuta wakiwa mateka wa kifikra.

Visa vingi sana tumeviona na tumevishuhudia vya watu kuuziwa kijifuko cha chumvi tu hii ya dukani kwa shilingi laki moja huku wakisadikishwa kuwa inaleta utajiri na kumfukuzia mbali pepo mchafu alitaye ufukara.

Tumeona watu wakisadikishwa kuwa ukipada mbegu utavuna lolote ulitakalo, mathalani, unataka kuwa Mkurugenzi wa Bandari, au unataka kuwa daktari mkuu na wewe elimu yako ulikomea darasa la nne A, basi panda mbegu, inenee na wewe utavuna jambo ulitakalo.

Wakristo wameaminishwa kuwa kina St. John, St. Peters, St. Richard na wazungu wengine waliokufa zamani ndio wanaweza kutuombea.

Mizimu ya kizungu, wala haikujui je inawezaje kukuombea? Mizimu ambayo haina hata uhusiano na wewe?

Omba kupitia mizimu ya kwenu, achana na hao wahuni wa kimagharibi, wanachotaka kutoka kwako ni sadaka tu.

Wanahubiri upendo na hawana upendo, hata marehemu Benjamin Williams Mkapa alichana na upadre baada ya kuona huko kwenye mission kumejaa gjiriba, chuki , ubaguzi na upendo haukuwepo.

Mapadre wazungu walikuwa wakiwanyanyapaa na kuwaona mapadre weusi kama takataka halafu wakipanda madhanahuni wanajidai wanahubiri upendo.

Hizi dini zichunguzeni kwa kina, kisha zirekebiswe huenda zikawa bora kidogo
Roho ya dini imevuruga akili za watu kiasi kwamba mtu akishaamini anakuwa zuzu kuliko mme aliyelishwa limbwata.
 
Pastor Ezekiel haongozi Kanisa wala dini, unapotaka kumjadili karibu kutenga hayo msuala kwanza
 
Sijajua ni kwa nini baadhi ya Wakristo wamekuwa wakisadikishwa na kuaminishwa na wao haraka haraka huamini na mwishowa siku hujikuta wakiwa mateka wa kifikra.

Visa vingi sana tumeviona na tumevishuhudia vya watu kuuziwa kijifuko cha chumvi tu hii ya dukani kwa shilingi laki moja huku wakisadikishwa kuwa inaleta utajiri na kumfukuzia mbali pepo mchafu alitaye ufukara.

Tumeona watu wakisadikishwa kuwa ukipada mbegu utavuna lolote ulitakalo, mathalani, unataka kuwa Mkurugenzi wa Bandari, au unataka kuwa daktari mkuu na wewe elimu yako ulikomea darasa la nne A, basi panda mbegu, inenee na wewe utavuna jambo ulitakalo.

Wakristo wameaminishwa kuwa kina St. John, St. Peters, St. Richard na wazungu wengine waliokufa zamani ndio wanaweza kutuombea.

Mizimu ya kizungu, wala haikujui je inawezaje kukuombea? Mizimu ambayo haina hata uhusiano na wewe?

Omba kupitia mizimu ya kwenu, achana na hao wahuni wa kimagharibi, wanachotaka kutoka kwako ni sadaka tu.

Wanahubiri upendo na hawana upendo, hata marehemu Benjamin Williams Mkapa alichana na upadre baada ya kuona huko kwenye mission kumejaa gjiriba, chuki , ubaguzi na upendo haukuwepo.

Mapadre wazungu walikuwa wakiwanyanyapaa na kuwaona mapadre weusi kama takataka halafu wakipanda madhanahuni wanajidai wanahubiri upendo.

Hizi dini zichunguzeni kwa kina, kisha zirekebiswe huenda zikawa bora kidogo
Wanaotapeliwa ni wale wavaa kubazi na vikoi ambao huaminishwa kwamba wakijitoa mhanga wataenda peponi kumbe wanaenda motoni.
 
KAMA WEWE NI MUUMINI KWENYE MOJA YA MAKANISA YANAO ONGOZWA NA:
MTUME
NABII
KUHANI
NABII MKUU
MCHUNGAJI NA NABII.
MFALME

JIPIGIE MAKOFI TAFADHARI
NA MSHUKURU MUNGU WAKO KUKUUMBA MPUMBAVU.
NINYI NDIO MNAO IFANYA DUNIA KUWA SEHEMU SALAMA,TAMU.
DUNIA HAIWEZI KUWA NA WATU WENYE AKILI PEKE YAKE.
 
Huo ni wivu wa kike na uhafidhina ndio unaokusumbua..

#MaendeleoHayanaChama
 
Nione wivu kwa watu masikini?
Ushawahi ona mlokole mwenye uchumi mzuri, ana biashara kubwa?, ebu fanya utafiti kidogo makampuni, viwanda na biashara kubwa kubwa zina milikiwa na nani hapa tanzania?
Ifike mahali ukristo wetu na usiwe kamba za kufunga fahamu zetu.

Makanisa ya zamani(Roman, Anglikana, Lutheran, Moravian) walianzisha makanisa na mashule na mahospitali kuhudumia watu kwenye AFYA YA AKILI NA MWILI.
Hayo makanisa yenu yameanzisha nini kuwasaidia ninyi?au ndio mtaji wa kuwasaidia wao waishi kitajiri ninyi kimaskini!
-Kazi kutwa kufukuzana na mapepo(utafikiri mna undugu nayo), kukusanya nywele na kucha,kula keki, mafuta, maji,
-kazi kutafuta miujiza! hata hamjui hata shetani naye ana miujiza yake
-na uwezikano wa hata huko kufika peponi hamna,
 
Eti ungali hai unakatazwa usitumie pombe na usiwe mzinzi, lakini cha ajabu ukishakata umeme unaruhusiwa kutumia vyote, inabidi uzimie uzinduke kama mara trilioni hivi ndipo utaweza kuelewa huo mstari [emoji1787]
Aiseeeeeee . ..... Naona tongotongo likinidondoka !!!
 
"Kondoo wa bwana". Yeyote anayejitolea kuwaongoza, watamfuata bila maswali.

Kuna jamaa mmoja anajiita "Baba Nabii" Arusha. Ana mpaka vifurushi vya sadaka. Walio kwenye vifurushi vya hela ndefu, wanapata vipaumbele zaidi.
Bando.... Fedha kidogo.. MB chache , ukiongeza fedha mb zinaongezeka !!
 
Siku moja nilimuuliza jamaa mmoja hivi ni kwanini tunachukulia wakrisito ndio wako vizuri kuliko waslam kwenye elimu dunia yaani wao pamoja na kusoma biblia na vingine lakini pia elimu za uraiani yaani elimu dunia wako juu zaidi ya waslam.Nikamuambia mbona ni rahisi sana kuwangiza wasomi hawa kwenye mkenge kuliko waislamu.
Jamaa ni mtani wangu ni mkatoliki akaniambia unajua mtani shida kubwa ni kwamba waislam maandiko yao yalivyoandikwa hayajawahi kutafsiriwa yako vile vile ila tu kuna vifungu vichache wanaelezea kwa lugha ya kiswahili.

Akaniambia kwa ukristo tatizo biblia imeandikwa kwa lugha nyingi mno ndio maana matapeli wakatumia mwanya huo kuweka vifungu vyao.
Akaniambia ona babu wa Loliondo alivyotapeli watu na wengi sana walikufa.
Na mimi nikamuambia mbona kuna watu wanajiita manabii kwa sasa kwenye ukristo akaniambia madhehebu mengi ya kikristo yana u freee Mason ndani yake huwezi amini.Akaniambia wenzetu waslam wako straight atokee mtu tu kwa sasa ajiite nabii wanagombea shingo yake.

Nilibaki nimefungua mdogo
 
QURAN 9: 34

94. "Enyi mlio amini! Hakika wengi katika makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa batili na wanazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu. Na wanao kusanya dhahabu na fedha, wala hawazitumii katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wape habari ya adhabu iliyo chungu."

hakika
wajinga ndio
waliwao
 
Siku moja nilimuuliza jamaa mmoja hivi ni kwanini tunachukulia wakrisito ndio wako vizuri kuliko waslam kwenye elimu dunia yaani wao pamoja na kusoma biblia na vingine lakini pia elimu za uraiani yaani elimu dunia wako juu zaidi ya waslam.Nikamuambia mbona ni rahisi sana kuwangiza wasomi hawa kwenye mkenge kuliko waislamu.
Jamaa ni mtani wangu ni mkatoliki akaniambia unajua mtani shida kubwa ni kwamba waislam maandiko yao yalivyoandikwa hayajawahi kutafsiriwa yako vile vile ila tu kuna vifungu vichache wanaelezea kwa lugha ya kiswahili.

Akaniambia kwa ukristo tatizo biblia imeandikwa kwa lugha nyingi mno ndio maana matapeli wakatumia mwanya huo kuweka vifungu vyao.
Akaniambia ona babu wa Loliondo alivyotapeli watu na wengi sana walikufa.
Na mimi nikamuambia mbona kuna watu wanajiita manabii kwa sasa kwenye ukristo akaniambia madhehebu mengi ya kikristo yana u freee Mason ndani yake huwezi amini.Akaniambia wenzetu waslam wako straight atokee mtu tu kwa sasa ajiite nabii wanagombea shingo yake.

Nilibaki nimefungua mdogo
Kwahiyo mnakaa vijiwe vyenu hivyo vya gahawa ndo mnakuja hapa JF kutuletea hizo story zenu ? Usikute hata mlikuwa hamjala ndo maana mkaongea pumba Kama mlizoziongea. [emoji706]
 
Back
Top Bottom