Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Amina
 
Eti ungali hai unakatazwa usitumie pombe na usiwe mzinzi, lakini cha ajabu ukishakata umeme unaruhusiwa kutumia vyote, inabidi uzimie uzinduke kama mara trilioni hivi ndipo utaweza kuelewa huo mstari [emoji1787]
Huo mstari unapatikana wapi, kiongozi..?!
 
Nani kakudanganya pombe haina madhara wewe mfia dini?

Kisukari, kuugua ini hakutokani na pombe [emoji848][emoji28]
 
Eti ungali hai unakatazwa usitumie pombe na usiwe mzinzi, lakini cha ajabu ukishakata umeme unaruhusiwa kutumia vyote, inabidi uzimie uzinduke kama mara trilioni hivi ndipo utaweza kuelewa huo mstari [emoji1787]
Naona mnahamisha magoli hahaha haa chuki ni mbaya sanaaa
 
Umemaliza mjadala.
 
Umeelezea vizuri,na wamekuelewa.
 
Ahera zinaenda roho siyo miili, ya kula na kunywa yanaishia hapahapa.
 

Hawapendi kuambiwa ukweli hata kama wanaangamia
Ni kama wacheza kamari hawa hawa uwaambie nini

Mada ni kuhusu wao halafu wanaukimbia ukweli wanaanza kutukana wengine

Guys wake up and smell the coffee waambie [emoji23][emoji23]

Hawa wanaamini mtu mwingine anaweza kuwafutia madhambi kwa kuombewa badala waombe wenyewe
 
Una hoja kuhusu watu kujiita manabii, tokea awali, mtu hata akijiita nabii ni yeye na Mungu wake, muda hufika na kama ni unabii wa uongo basi hupotea. Uislam ni dini ya kujichukulia hatua mkononi, mtu akisema Mohammad hakuwa mtume au vipi, badala ya kumwacha huyo Mohammad ajidhihirishe huko aliko, utaona watu wanachinjwa, wanapigwa etc. Katika ukristu ni Mungu anawapigania watu ila katika Uislam ni watu wanampigania Mungu.
Zaidi kwa akili yako unaamini Mungu anaweza kuandaa pepo ambapo mtu anapewa wanawake bikra 72 na mito ya pombe ?? Huyu Mungu itakuwa amefungua danguro.
Ukifanya tathmini ya haki kabisa utagundua Uislam si zaidi ya tamaduni za kiarabu, zilizojengwa katika chuki ya dini nyingine na wivu wa kimapenzi.
 
Sasa kwanini hao manabii wasifungue na misikiti na kuendelea kupiga fursa maana kama waislamu wanaenda kwenye makanisa kufuata hizo huduma zao maana waislamu nao ni fursa hivyo wangejenga misikiti ili wawapate vizuri waislamu wengi kuliko sasa wengine wanaogopa kwenda huko makanisani wataonekana na ndugu zao?
 
Ukilewa duniani na kumuomba boda boda akupeleke nyumbani kuna tatizo kwani
 
Japo hizi mada zimekua nyingi mpaka zinaogopesha.

Ni kwamba watu wameanza kujitambua au ni mwendelezo wa yule shetani kuvuruga waumini?
Hizi ni mada za jamii forums huwa zipo siku zote tu, mtu anaponda dini za wazungu ila anataka tuabudu mizimu na ukimuhoji anakwambia ushaharibiwa akili na dini za wazungu na kudharau asili yako. Kwahiyo hakuna cha watu kujitambua hapa mkuu bali ni jitihada za imani za waabudu mizimu katika kufanyia matangazo imani yao hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…