Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama hutaki?Kwa hiyo Harmonize ame mkimbia harmo rappa!?
AaahMbona kama hutaki?
Yani yule jamaa harmorapa ni maumivu ya kichwaAaah
Nilitaka tu kujua kama jamaa ali epa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yani yule jamaa harmorapa ni maumivu ya kichwa
Ubishoo anautamani sana sema sura mauzo less. Yan harmonize aogope kivuli chake? Hiki kitu hakiwezekani[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kiboko ya mabishoo yule
Sasa sija jua harmonize aliogopa nn
Ndio jana hiyo una ambiwa ilitokea, na nnavo hisi EATV ndio wakiweka huo mtego.Ubishoo anautamani sana sema sura mauzo less. Yan harmonize aogope kivuli chake? Hiki kitu hakiwezekani
Harmonize hajataka kumpa kiki hamo mambio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio jana hiyo una ambiwa ilitokea, na nnavo hisi EATV ndio wakiweka huo mtego.
Harmonize [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Harmonize hajataka kumpa kiki hamo mambio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alichokataa Jana harmonize ni kutumika EATV walipanga kumkutanisha na harmorapa kinguvu , harmonize akashtukia mtegoNdio jana hiyo una ambiwa ilitokea, na nnavo hisi EATV ndio wakiweka huo mtego.
Harmonize [emoji125]
HahahahaAlichokataa Jana harmonize ni kutumika EATV walipanga kumkutanisha na harmorapa kinguvu , harmonize akashtukia mtego
Harmonize jana ndukiiiiiiii chezea kiboko ya mabishoooAlichokataa Jana harmonize ni kutumika EATV walipanga kumkutanisha na harmorapa kinguvu , harmonize akashtukia mtego