Hamorapa live FNL EATV

Hamorapa live FNL EATV

Ubishoo anautamani sana sema sura mauzo less. Yan harmonize aogope kivuli chake? Hiki kitu hakiwezekani
Ndio jana hiyo una ambiwa ilitokea, na nnavo hisi EATV ndio wakiweka huo mtego.
Harmonize [emoji125]
 
Harmonize hajataka kumpa kiki hamo mambio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa hapo umenza kupingana na ukweli juzi mwenzie kakimbia bastola, yeye jana ana mkimbia mwenzie.
Sija liona hilo tukio vzuri ila ntalifuatilia, naihisi harminize ali epa kweli
 
Alichokataa Jana harmonize ni kutumika EATV walipanga kumkutanisha na harmorapa kinguvu , harmonize akashtukia mtego
Hahahaha
Kwani wangekuta kulikuwa na shida gani? Na harmonize si alisema yeye hana kinyongo na dogo? Japo EATV najua walizingua ila hata yeye kaonekana ana kaji unafik flan hivi
 
Alichokataa Jana harmonize ni kutumika EATV walipanga kumkutanisha na harmorapa kinguvu , harmonize akashtukia mtego
Harmonize jana ndukiiiiiiii chezea kiboko ya mabishooo

Sema EATV nao kavu sana
 
Back
Top Bottom