SIDANGANYIKI2015
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,054
- 114
Naam inawezekana wewe na huyo mwalimu wako mna kalugha chenu kilichofinyu kinachowafanya msitambue lugha ni nini.Hivyo uhuru unapatikana katika history tu. Puuuu! Tanuka kijana ujuwe nini maana ya uhuru ilivyo pana usibaki kufikiri uhuru ni kutoka kwenye makucha ya ukoloni tu kama ulivyosomeshwa na huyo mwalimu wako wa historia.
Usijifanye hujui nimesema makusudi ili wataalam wa history wakupe tafsiri ya neno uhuru pengine hujui!na kama hukusoma history basi pole ungejui ninazungumza nini? Na kwa hili wala hatuaelewana go back to school mwalimu wako wa Critical thinking and argumentation akupige msasa!akimaliza akufundishe pia reasoning ili ujue unafanya nini hapa! Kazi kujaza false statements!