Nafikiri lingekuwa jambo la maana sana kuachiwa kila mmoja akatowa mawazo yake.Mada nimeipitia na sio mimi tu wako kibao watu makini wenye michango yenye maana,huwezi zuia watu kuongea let them talk then ukweli utaprevail kwani shida hapa nini,nachojua kuna baadhi ya watu hata na hiyo katiba inayopendekezwa wamepqta copy but they dont read na kuna wale wenye ile ya 1977 nao vilevile hawajaisoma na hawaijui,tuwe serious kwenye mamb muhimu ya nchi yetu.
Hili la eti "nawakumbusha watu kuwa mchakato wa kampeni za katiba pendekezwa bado" Eti oh "Tutafungia mashirika ya dini na NGOs" Oh "viongozi wa dini wasijihusishe na siasa (eti kwa hili tu), yasingehitajika kutolewa na upande uliotengeneza hiyo Katiba.