Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mpuuzi acha uongo wako hapa, warioba hana katiba, yeye aliandika mapendekezo na sio katiba.
Sawa sawa kabisaaaaUpatikanaji wa Katiba mpya hauepukikia,wananchi tushiriki wenyewe tusiwaachie mbwa mwitu kutugawa na kutuvuruga!!!
Na inakuwaje chama kimoja kinawajibika kubemwabeleza hao wananchi waipigie 'ndiyo'? Nikifikiri hao wenye katiba waachiwe waamue na sio kulazimishwa.Wpona hukuelewa nini hapo?kwani katiba ni ya mbuzi,kondoo,ng'ombe au twiga???? Mbona inaeleweka hiyo na mimi nakazia KATIBA NI YA WANANCHI.
Kama ni hilo kwann na wa vyama vingine wanawashinikiza wananchi hao hao waipigie kura ya Hapana? Hapo ni jino kwa jino kama hujui. Wawaache nao waamue wenyewe kuliko kuwaambia eti pigeno hapana lkn mjitokeze kwa wingi kwenye daftsri kwaajilimya kujiandikisha. Hahahhahha unalo hiloNa inakuwaje chama kimoja kinawajibika kubemwabeleza hao wananchi waipigie 'ndiyo'? Nikifikiri hao wenye katiba waachiwe waamue na sio kulazimishwa.
Ndoo maana Polepole anasema katiba hii lazimishwa haifai kwani mmoja ya vipengele ni kinachowaruhusu wapopoa embe kama mtoa uzi kugombea ubunge. Eti polepole amevunja ukimya? Toka lini polepole amekuwa kimya? 24/7 polepole is busy working on this matter kwa kuongea na mtu mmoja mmoja, asasi na kuongea na nchi kwa kutumia vyombo vya habari.
Wewe mpopoa embe umetumwa na nani kujifanya mwelewe humu JF?
Na inakuwaje chama kimoja kinawajibika kubemwabeleza hao wananchi waipigie 'ndiyo'? Nikifikiri hao wenye katiba waachiwe waamue na sio kulazimishwa.
Bwana Mpitwaga kwani wewe umekuwa msemaji wake huyo Harakaraka a.k.a pole pole? Na wewe bwana Utotole kwanini una mkono mambo ambayo unaona kabisa huyo bwana Pole pole mchumia tumbo mganga njaa anayetafta umaarufu tu hapa nchini? Hahahaha mwenye mamchomhaambiwi ona, huyo anapita mavyuoni na kwa watu mmoja mmoja kupotosha umma, ashindwe na alegeee. Katiba itapita, mtasema mchana lakn ucku mta lala tuu.Ameletwa kwa madhumuni maalum achana naye. Alichonukuu na tafsiri anayojaribu kutoa viko mbali kama dunia na jua...
Ameletwa kwa madhumuni maalum achana naye. Alichonukuu na tafsiri anayojaribu kutoa viko mbali kama dunia na jua...
We unawambia wenzio wanakurupuka we mwenyewe ndo wale wale wa kukurupuka pia.Bmbalamwezi acha kukulupuka unakuwa kama yule Wa Futui
Kumbe hili la uhuru kwa kila nmmoja unalijuwa?Kama ni hilo kwann na wa vyama vingine wanawashinikiza wananchi hao hao waipigie kura ya Hapana? Hapo ni jino kwa jino kama hujui. Wawaache nao waamue wenyewe kuliko kuwaambia eti pigeno hapana lkn mjitokeze kwa wingi kwenye daftsri kwaajilimya kujiandikisha. Hahahhahha unalo hilo
We kilaza kweli, wanachokataza wao ni kuhusu Uchaguzi mkuu kampeni muda wake bado. lkn kuhusu katiba muda ulishafika na kampeni zake ndo hizo unazoziona sasa cjui unakurupuka kurupuka ovyo unadhani JF wanagawa chakula cha njaa humu? jipange na uwe unaelewa mambo usiwe bendera fata upepo.Kumbe hili la uhuru kwa kila nmmoja unalijuwa?
Inakuwaje sasa wanaotaka HAPANA kwa katiba wanatishwa na kuambiwa watafungiwa? Eti wakubwa wanafikia kusema kuwa muda wa kampeni haujafika wakati kwa huu upande wenu wa NDIYO umekuwa ukipigiwa chapuo na viongozi wa nchi.
Hivyo hapo umeona ni sawa?
Laiti ungepitia hii mada ungeelewa kuwa kulikuwa hakuna haja ya haya yanayofanyika.Hakuna atakayelazimisha mtu,mie naelewa siku ya kupiga kura ni wewe na sanduku na kura yako ushindwe mwenyewe!kikubwa uelewe unapigia kitu gani na uwe umeisoma Katiba inayopendekezwa.
Hongera polepole kwa kutufungua wananchi kutoka katika kifungo cha baadhi ya wanasiasa waliokuwa wanatupotosha eti katiba inayopendekezwa ni wanasiasa sio ya wananchi,tumeujua ukweli kwamba kwa kuwa tuliotoa maoni kuhusu katoba inayopendekezwa ni sisi wananchi basi katiba hii ni yakwetu,lazima tuiunge mkono kwa kujiandikisha na mwisho kupiga kura ya ndio
Wewe mbona kituko ndugu yangu?We kilaza kweli, wanachokataza wao ni kuhusu Uchaguzi mkuu kampeni muda wake bado. lkn kuhusu katiba muda ulishafika na kampeni zake ndo hizo unazoziona sasa cjui unakurupuka kurupuka ovyo unadhani JF wanagawa chakula cha njaa humu? jipange na uwe unaelewa mambo usiwe bendera fata upepo.
Laiti ungepitia hii mada ungeelewa kuwa kulikuwa hakuna haja ya haya yanayofanyika.
Kumbe hili la uhuru kwa kila nmmoja unalijuwa?
Inakuwaje sasa wanaotaka HAPANA kwa katiba wanatishwa na kuambiwa watafungiwa? Eti wakubwa wanafikia kusema kuwa muda wa kampeni haujafika wakati kwa huu upande wenu wa NDIYO umekuwa ukipigiwa chapuo na viongozi wa nchi.
Hivyo hapo umeona ni sawa?