Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Kwenda zako wewe, ntazidi kukuita kijana nani unamtisha humu ndani, huna lolote wewe mchumia tumbo tu, mkubwa hatishiwi nyoka wa kuchorwa, kawatishe hao hao, kama unabisha nambie wapi nikufate afu tuone utafanya nini, we wa wapi wewe au umetoka mkoa umakuja kushangaa maghorofa town huku? Potea huko.Jaribu kuwa na adabu ndugu...unaniita kijana unanifahamu...!!?
Harafu mimi siyo shabiki wa mambo ya siasa, naangalia hoja kwa maslahi ya nchi, siangalii mambo kwa ushabiki wa kiitikadi...ukihitaji uthibitisho wa sauti zilizorekodiwa siku hiyo njoo uniPM upate facts...
Tafakari...