Hamphrey Polepole aikubali Katiba Inayopendekezwa na kusema kuwa ni ya wananchi si ya Wanasiasa

Hamphrey Polepole aikubali Katiba Inayopendekezwa na kusema kuwa ni ya wananchi si ya Wanasiasa

ccm mnajua kujidanganya.
Na nyie msio na vyama mnajua kudanganyika ndo maana mliidai Tanganyika mkaikosa. Kama ninyi ni wakereketwa wa kudai mbona hamjadai ukoloni ili mtawaliwe kama historia yenu ya Tanganyika inalipa
 
Hawaishi kuonyesha upumbavu wao wa hali ya juu katika kulazimisha katiba yao ya MACCM ikubalike na Watanzania.
BAK a.k.a MWALLA4REAL wachumia matumbo mnaoingia JF muda mmoja na hii inadhihirisha kuwa wewe ni mtu mmoja unaetumia akaunti mbili tofauti au la nyie ni wapenzi yani ni mtu na mmewe au either BAK umeolewa na MWALLA4REAL au kinyume, sasa jichagulieni hizo options. Wapuuuzi wakubwa nyie mloyumww na UKAWA hamtafanikiwa ng'oooooo mafisi wakubwa nyie.
 
Dah kama kweli akili zetu ndio zimefikia hapa basi Tanzania tuna tatizo kubwa sana sana na ni MUNGU tu ndio atuokoe. Ungekuwa huna malengo mabaya ungeelewa tu alichokisema kuwa KATIBA as katiba inatakiwa kuwa ya Wananchi na sio kitu cha kutekwa na wanasiasa. Ni wapi alisema Katiba iliyopendekezwa na BMK ni ya Wananchi? Tusiwe na akili ndogo kiasi hiki...... najua Humphrey Polepole ni member hapa na atakuja kulithibitisha hili.

Ni hatari kuwa na taifa la watu wenye tabia na mtazamo mbaya kama huu

Mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bwana Hamphrey Pole Pole amevunja ukimya na kusema Katiba ni ya Wananchi na si ya wanasiasa. Hebu mwangalie alivyotamka mwenyewe,"" Katiba hii siyo ya wanasiasa ni ya wananchi wenyewe, lakini cha kushangaza hapa ni wanasiasa wanavyochukua nafasi kubwa ya kuuteka mchakato huu na hii yote wanataka wapate nafasi ya kulinda masilahi yao na kuendelea kututawala watakavyo, hivyo ndugu zangu wa Mbeya na Watanzania wote chukueni hatua." Asante Bwana Pole Pole kwa kutuelimisha kwa maana wengi tulipotoshwa na kuambi;wa kuwa Katiba ni ya fulani na fulani mara ni ya chama fulani. Sasa ninyi mlioshiriki kuitunga akiwemo comredi Mbatia mnapotwambia hivyo mnatusaidia sana katika kuelewa Katiba Inayopendekezwa. Endelea kutueleza na mengine zaidi.

Chanzo: Mwananchi
 
Last edited by a moderator:
Vijana wengi nchini ni vijana kwa umbo lakini ni wazee kiakili na wazee wengi tulionao ni wazee kiumbo lakini ni vijana kiakili.

Ajabu nikuwa hawa vijana ndio wanaotegemewa kuwa kwenye vyombo vya maamuzi.
 
Hawaishi kuonyesha upumbavu wao wa hali ya juu katika kulazimisha katiba yao ya MACCM ikubalike na Watanzania.

Hujambo mpotoshaji? Tanzania nchi yangu naipenda sana hivyo wenye kuiangalia kwa macho ya husda siwafagilii ila nawashauri mbadilike na muuungane na wenzenu kuijenga nchi yetu na tuifikishe salama tena zaidi ya miaka hamsini ambayo waliotangulia kuiongoza nchi yetu wametufikisha salama hapa tulipo. Kila mwenye dhamira na dhamiri njema na nchi yetu ametambua na sasa tunaingia kwenda kujiandikisha na kuipigia kura Katiba Inayopendekezwa. Songa mbele jenga nchi yako.
 
Ama kweli Tasnia ya habari Tanzania ni makanjanja....siwezi amini hiki ninachokisoma.....what a low news?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nadhani hapo kwenye red ni sehemu ambayo haihitaji akili iliyofika chuo kikuu...kaa chini fikiri na utafakari halafu uje na ushabiki wako
Imekugusa na kukugaragaza hadi nawe ukamuunga mkono Bwana Pole Pole. Sasa wewe utakuwa Bwana Mwendakasi. Karibu kwenye forum.
 
Na nyie msio na vyama mnajua kudanganyika ndo maana mliidai Tanganyika mkaikosa. Kama ninyi ni wakereketwa wa kudai mbona hamjadai ukoloni ili mtawaliwe kama historia yenu ya Tanganyika inalipa

Kumbe political environment....kuna kada 3 katika siasa ambazo ni:

1. Wanaounga mkono chama
2. Wanaopinga chama/wapinzani
3. Wasiokuwa na chama ambao weledi wao hubadilika kutokana na ushawishi wa chama fulani kwao..

Acha kukurupuka....
 
Hawaishi kuonyesha upumbavu wao wa hali ya juu katika kulazimisha katiba yao ya MACCM ikubalike na Watanzania.
Huyu bwana amepewa kazi ya kuopotosha umma. Jana kamnukuu Mbatia, leo Pole pole. Yaani ukisoma anachoandika na kilichosemwa hakuna shaka ni mwajiriwa mzuri sana na anafanya kazi yake

Kitu wasichojua watu, Kikwete na vyombo vya dola wamekiri kuwa wananchi hawataki katiba ya Chenge na Sitta, wanataka katiba yao. Wamegoma na Kikwete, Sitta, Chenge wamefeli. Hakuna katiba ya Chenge, tutarudi kwa Warioba soon.

BAK huyu jamaa ni wa kupuuzwa sana. Pitia mabandiko yake, utano ni mwajiriwa wa Lumumba kama si ndege beach
 
Last edited by a moderator:
Vijana wengi nchini ni vijana kwa umbo lakini ni wazee kiakili na wazee wengi tulionao ni wazee kiumbo lakini ni vijana kiakili.

Ajabu nikuwa hawa vijana ndio wanaotegemewa kuwa kwenye vyombo vya maamuzi.

Yericko...Ipo kazi kuwabadilisha vijana wa sasa wawe na akili ya wazee wa zamamni
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ama kweli Tasnia ya habari Tanzania ni makanjanja....siwezi amini hiki ninachokisoma.....what a low news?

Naona unajitupia tuuu. Fanya utafiti. Kama wapo! washauri wakasome ili ajijengee umakini wa kazi. Kutaja tuu hakusaidii wape na suluhisho badala ya kuuliza tu. Give your opinion or suggestions on how to solve the problems.
 
Huyu bwana amepewa kazi ya kuopotosha umma. Jana kamnukuu Mbatia, leo Pole pole. Yaani ukisoma anachoandika na kilichosemwa hakuna shaka ni mwajiriwa mzuri sana na anafanya kazi yake

Kitu wasichojua watu, Kikwete na vyombo vya dola wamekiri kuwa wananchi hawataki katiba ya Chenge na Sitta, wanataka katiba yao. Wamegoma na Kikwete, Sitta, Chenge wamefeli. Hakuna katiba ya Chenge, tutarudi kwa Warioba soon.

BAK huyu jamaa ni wa kupuuzwa sana. Pitia mabandiko yake, utano ni mwajiriwa wa Lumumba kama si ndege beach

Nguruvi3 Hivi tatizo ni waandishi makanjanja kuleta habari kama hizi au ni nguvu ya pesa chafu? nahindwa kuelewa bong ya mtu kama mleta mada anaiongozaje familia yake.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Upumbavu wako peleka huko huko lumumba. Ungekuwa unaipenda nchi yako usingekaa kimya pale rushwa ya pesa za wizi inagawiwa mpaka ndani ya Ikulu, usingekubali kutumika ili kuandika ujinga wa kuwaunga mkono wahuni, wezi, wapokea rushwa, mafisadi, majangili na magaidi waliojaa ndani ya Serikali. Huo uongo wako wa kuipenda nchi yako wadanganye wahuni wenzio pale lumumba.

Hujambo mpotoshaji? Tanzania nchi yangu naipenda sana hivyo wenye kuiangalia kwa macho ya husda siwafagilii ila nawashauri mbadilike na muuungane na wenzenu kuijenga nchi yetu na tuifikishe salama tena zaidi ya miaka hamsini ambayo waliotangulia kuiongoza nchi yetu wametufikisha salama hapa tulipo. Kila mwenye dhamira na dhamiri njema na nchi yetu ametambua na sasa tunaingia kwenda kujiandikisha na kuipigia kura Katiba Inayopendekezwa. Songa mbele jenga nchi yako.
 
Nguruvi3 Hivi tatizo ni waandishi makanjanja kuleta habari kama hizi au ni nguvu ya pesa chafu? nahindwa kuelewa bong ya mtu kama mleta mada anaiongozaje familia yake.
Hawa wanalipwa 'kwa kudhani' ni watu smart wanaoweza kutimiza haja za waliowatuma. Kwa bahati mbaya sana nchi yetu imekuwa na tatizo sekta zote. Unaweza ambiwa huyo ni afisa usalama wa kanda, au ukaambiwa ni wa vyombo vya dola, na wala usishangae ukisikia ni mjumbe wa kamati kuu ya chama.

I mean ile Tanzania tunayoijua si hii ya leo. Hivi kweli kuna mtu mwenye uwezo mzuri wa akili anaweza kupotosha umma kwa njia za kitoto kama huyu bwana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwi kwi kwi lol! Sijawahi kutumia ID nyingine zaidi ya hii na wala sioni sababu ya kufanya hivyo. Ningekuwa mchumia tumbo ningejiunga na mafisadi kama mpumbavu wewe ili nifaidike huku nikiwasaliti Watanzania wenzangu. Wewe taahira sijui hii ni ID yako ya ngapi hapa katika juhudi zako za kuandika utaahira wako.

BAK a.k.a MWALLA4REAL wachumia matumbo mnaoingia JF muda mmoja na hii inadhihirisha kuwa wewe ni mtu mmoja unaetumia akaunti mbili tofauti au la nyie ni wapenzi yani ni mtu na mmewe au either BAK umeolewa na MWALLA4REAL au kinyume, sasa jichagulieni hizo options. Wapuuuzi wakubwa nyie mloyumww na UKAWA hamtafanikiwa ng'oooooo mafisi wakubwa nyie.
 
Naona unajitupia tuuu. Fanya utafiti. Kama wapo! washauri wakasome ili ajijengee umakini wa kazi. Kutaja tuu hakusaidii wape na suluhisho badala ya kuuliza tu. Give your opinion or suggestions on how to solve the problems.

Hivi hii habari ambayo iko cited mwananchi inafanana na title yake? Utasema kweli mwandishi anajua anachokiandika au ni ukanjanja? Au unatijia upofu tu kisa unaunga mkono katiba pendekezwa? Kuwa na fikra huru acha kuwa affected na mahaba ya katiba pendekezwa.
 
Back
Top Bottom