Hamphrey Polepole aikubali Katiba Inayopendekezwa na kusema kuwa ni ya wananchi si ya Wanasiasa

Hamphrey Polepole aikubali Katiba Inayopendekezwa na kusema kuwa ni ya wananchi si ya Wanasiasa

Dah kama kweli akili zetu ndio zimefikia hapa basi Tanzania tuna tatizo kubwa sana sana na ni MUNGU tu ndio atuokoe. Ungekuwa huna malengo mabaya ungeelewa tu alichokisema kuwa KATIBA as katiba inatakiwa kuwa ya Wananchi na sio kitu cha kutekwa na wanasiasa. Ni wapi alisema Katiba iliyopendekezwa na BMK ni ya Wananchi? Tusiwe na akili ndogo kiasi hiki...... najua Humphrey Polepole ni member hapa na atakuja kulithibitisha hili.

Ni hatari kuwa na taifa la watu wenye tabia na mtazamo mbaya kama huu

Sisi sote tuna akili alizotujalia Mola, H.Polepole ametamka pasipo shaka kuwa Katiba siyo mali ya Wanasiasa, je kwa kutumia logic ya kawaida kabisa unadhani alikuwa anaongelea katiba ya mwaka 1977 ? au anaongelea Katiba ipi ? Nidhahiri pasipo shaka kauli yake ambayo siyo tata, alimaanisha Katiba Pendekezwa kwani ndiyo iliyo kwenye mjadala. Hawezi wala hakuna haja ya Mh. H.Polepole kuongelea Katiba ya 1977 ambayo haina mjadala wala haina mwelekeo wa kutekwa na Wanasiasa. Wewe usimshawishi Hamphrey Polepole eti akanushe kauli yake mwenyewe. HP ni msomi na mwanasheria usidhani ananunuliwa kwa bei ndogo kiasi hicho.
 
Last edited by a moderator:

Hamsomeki nyie acheni unafki.
 
[QUOTE="" Katiba hii siyo ya wanasiasa ni ya wananchi wenyewe, lakini cha kushangaza hapa ni wanasiasa wanavyochukua nafasi kubwa ya kuuteka mchakato huu na hii yote wanataka wapate nafasi ya kulinda masilahi yao na kuendelea kututawala watakavyo, hivyo ndugu zangu wa Mbeya na Watanzania wote chukueni hatua.” .

Chanzo: Mwananchi[/QUOTE]

Ha ha haaa, eti "watu tuna akili alizotujaalia so and so". Mimi pia ninaiunga mkono kauli hiyo ya HP kwani ni ukweli usiopingika kuwa katiba ni ya wananchi na si wanasiasa hivyo uamuzi wa uzuri ama ubaya wa katiba hiyo tuachiwe wananchi wenye katiba. NYAMA ILIYOKO BUCHANI
SI KWA AJILI YA MUUZAJI BALI MNUNUZI LAKINI HIYO HAINA MAANA NYAMA NI LAZIMA INUNULIWE NA MTEJA.

NINYI MNAOSEMA MMEJAARIWA AKILI, NI WAPI KATIKA KAULI YAKE HIYO AMESEMA KATIBA PENDEKEZWA INATUFAA WANANCHI?? Ukiipata sehemu hiyo, kweli mtakuwa na akili ama la, mtakuwa mliziacha kipindi cha kuhitimishwa Bunge la katiba.
 
Kama wewe vile ulivyokurupuka ukidhani wanagawa chakula cha njaa humu JF! hahahahah pole sana jipange skwa mengine lkn sio kwa hili mwehu weeee.
KIMA wwe unadhani huu u.pu.pu wako nani angeuelewa kibaka wwe, hii ndo shida ya kuzaliwa na utindio wa ubongo nyang'au we, hebu kunywa macholo yako ukalale
 
Kuna vitu viwili ambavyo hufunga ufahamu wa binadamu kabisa. Cha kwanza ni tamaa ya madaraka na cha pili ni tamaa ya mali. Tafakari! Jambo liko obvious mtu anajifanya haelewi. Msimamo wa HP ni kuwa katiba ni mali ya wananchi nahii iliyopendekezwa maoni ya wananchi yaliachwa.
 
Mwezi March 2015 ccm iliajiri watu wengi sana hapa JF
 
Mwezi March 2015 ccm iliajiri watu wengi sana hapa JF
Na mwezi December 2009 CHADOMO a.k.a CHAGADEMA iliajiri wachumia matumbo wengi humu kwaajili ya uchaguzi ule wa 2010, ukiwemo na wewe unaejiita ASANTE, tena ukaambiwa na hao walokutuma kwamba uendelee na ID yako ulokafungua mwaka huo ili uitumie kwenye hii ishu ya katiba. Mbwiga weeee
 
Kuna vitu viwili ambavyo hufunga ufahamu wa binadamu kabisa. Cha kwanza ni tamaa ya madaraka na cha pili ni tamaa ya mali. Tafakari! Jambo liko obvious mtu anajifanya haelewi. Msimamo wa HP ni kuwa katiba ni mali ya wananchi nahii iliyopendekezwa maoni ya wananchi yaliachwa.
Pumbavu weeee, maoni gani yaliachwa? Yataje ujibiwe, acha ushabiki au umetumwa na UKAWA eenh? Usiwe kama mchumia tumbi wewew.
 
Mwezi March 2015 ccm iliajiri watu wengi sana hapa JF
Kumbe uliajiriwa na CCM. Sasa mbona unaiponda. Naona umeishiwa hoja. Watu mnapoishiwa hoja mnaanza mambo ya vyama.
 
Kuna vitu viwili ambavyo hufunga ufahamu wa binadamu kabisa. Cha kwanza ni tamaa ya madaraka na cha pili ni tamaa ya mali. Tafakari! Jambo liko obvious mtu anajifanya haelewi. Msimamo wa HP ni kuwa katiba ni mali ya wananchi nahii iliyopendekezwa maoni ya wananchi yaliachwa.
Usipotoshe watu. Katiba Inayopendekezwa imejaa maoni ya wananchi. Unaposema maoni ya wananchi yaliachwa inamaana Katiba hii ina maoni ya wachina au wazungu! Tafakari usemi wako.
 
Wewe ndo umemnukuu vibaya, uwe unasikiliza kwa makini kijana acha kukurupuka.

Jaribu kuwa na adabu ndugu...unaniita kijana unanifahamu...!!?

Harafu mimi siyo shabiki wa mambo ya siasa, naangalia hoja kwa maslahi ya nchi, siangalii mambo kwa ushabiki wa kiitikadi...ukihitaji uthibitisho wa sauti zilizorekodiwa siku hiyo njoo uniPM upate facts...

Tafakari...
 
Wewe zako je zinakutosha au Mwendapole kakuchumbia? Eleza ukweli tujue na utupe kadi za ndoa yako na huyo mmeopya unaemtetea humu ndani.

Usibishane na mpumbavu kwani hata wewe utaonekana mpumbavu.

Kama kauli zitakuwa zitafsiriwa hivi basi tunaweza kupata shida sana katika kupata ukweli
 
Back
Top Bottom