Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Mwandishi ama alimnukuu vibaya Polepole au hakumuelewa...
Alichokuwa anasisitiza Hamphrey ni kukataa kundi moja kuhodhi mchakato wa katiba na kuufanya ni wa kwake huku maoni, mapendekezo na mashauri ya wananchi yakikataliwa...
Alichosema ni kwamba duniani kote katiba hutungwa kwa maridhiano na katiba ni mali wananchi siyo mali ya vyama...
Vyama, taasisi, asasi hazina mamlaka ya kuhodhi mchakato wa katiba popote pale duniani...
Nasisitiza kwa kuwa nilikuwepo hapo kwenye ko labda kama huyo mwandishi ni kanjanja au ana malengo ya kupotosha umma...
Tafakari...
Ha ha ha ha bado wewe tu, Katiba mpya haizuiliki!!!