Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288

Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake​

k
Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono.

Baadhi ya watu wanaamini Laing kama kuonyesha kuudhika na hilo. Wengine wamekosoa uamuzi wa Barre, huku wengine wakiunga mkono kwa sababu za kidini.

Baadhi ya Waislamu hawapeani mikono na wanawake ambao si wake zao, wanaamini ni dhambi kuwagusa wanawake wasio wake zao.

Yapo matukio mengine ya Waziri Mkuu huyo akiwasalimia wanawake bila ya kuwapa mkono - katika maeneo anayotembelea au viwanja vya ndege akiwakaribisha wanadiplomasia, viongozi na wageni wengine.

1709549281435.png

1709549348446.png
Mtume amesema. Bora ushike kaa la moto kiganjani kuliko kupeana mikono mwanamke na mwanamme wanaoruhusiwa kuoana. Kwani dhambi kubwa kufanya hivyo. Na inawezekana
 
Ni haramu kuugusa mwili wa mwanamke ambaye si mkaribu wa damu kwako.(yaani una weza kumuoa) Hapo ndipo shetani anaingia kazini kuhamasisha matamanio na kuchapiana.

Ni muhimu kuweka kinga kuzuia virusi vya uzinzi
 
Peleka upumbavu huko hiyo dini imekupofusha macho kama unajiona wewe msafi sana hama hapa dunian nenda kaishi maisha yako huko Mars
Pumbavu mkubwa wewe mwenyewe hapo ulipo unakinyeshi kama unabisha pitisha kidole ujinuse shenzi kabsaa
Ndio sheria. Hata ukikasirika haisaidii kitu. Utaingia presha bure
 
Back
Top Bottom