Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hapa umejichanganya kafir mwenzangu. Huyu jamaa ni Muislamu. Ila kwa asilimia 100 anasaidiwa na makafir. Huoni hapo anaonesha ni mnafiq? Kwa nini asisaidiwe na Waislamu wenzie?Muislam anaejitambua ambae makafiri hawapendi ajitambue. Wakiristo wanapenda muislamu asiejitambua. Akijitambua basi ataandamwa