Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake​

k

Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono.

Baadhi ya watu wanaamini Laing kama kuonyesha kuudhika na hilo. Wengine wamekosoa uamuzi wa Barre, huku wengine wakiunga mkono kwa sababu za kidini.

Baadhi ya Waislamu hawapeani mikono na wanawake ambao si wake zao, wanaamini ni dhambi kuwagusa wanawake wasio wake zao.

Yapo matukio mengine ya Waziri Mkuu huyo akiwasalimia wanawake bila ya kuwapa mkono - katika maeneo anayotembelea au viwanja vya ndege akiwakaribisha wanadiplomasia, viongozi na wageni wengine.

View attachment 2924281
View attachment 2924282
Mtume amesema. Bora ushike kaa la moto kiganjani kuliko kupeana mikono mwanamke na mwanamme wanaoruhusiwa kuoana. Kwani dhambi kubwa kufanya hivyo. Na inawezekana
Safi sana nimependa hii
 
Mtume amesema. Bora ushike kaa la moto kiganjani kuliko kupeana mikono mwanamke na mwanamme wanaoruhusiwa kuoana. Kwani dhambi kubwa kufanya hivyo. Na inawezekana
Kwa lugha nyepesi mtume anatuambia hivi” bora uache kumvuta mwanamke aliyenasa kwenye kisima au kwenye maji kwa mkono sababu ni dhambi”
 
Baadhi ya Waislamu hawapeani mikono na wanawake ambao si wake zao, wanaamini ni dhambi kuwagusa wanawake wasio wake zao.

Yapo matukio mengine ya Waziri Mkuu huyo akiwasalimia wanawake bila ya kuwapa mkono - katika maeneo anayotembelea au viwanja vya ndege akiwakaribisha wanadiplomasia, viongozi na wageni wengine.
Mkono ni njia mojawapo ya kusafirisha hisia za ndani kabisa, sasa ikitokea uliempa mkono ana hisia kali na wewe cheche lazima ziwake, watoto wa Mwaka 2000 wanaziita 'sparkles'

Ndio maana kiongozi anajihami maana kiganja cha mkono kina kawaida ya kusafirisha innermost thoughts, emotions & passion plus dreams
 
Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake​

k
Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono.

Baadhi ya watu wanaamini Laing kama kuonyesha kuudhika na hilo. Wengine wamekosoa uamuzi wa Barre, huku wengine wakiunga mkono kwa sababu za kidini.

Baadhi ya Waislamu hawapeani mikono na wanawake ambao si wake zao, wanaamini ni dhambi kuwagusa wanawake wasio wake zao.

Yapo matukio mengine ya Waziri Mkuu huyo akiwasalimia wanawake bila ya kuwapa mkono - katika maeneo anayotembelea au viwanja vya ndege akiwakaribisha wanadiplomasia, viongozi na wageni wengine.

Mtume amesema. Bora ushike kaa la moto kiganjani kuliko kupeana mikono mwanamke na mwanamme wanaoruhusiwa kuoana. Kwani dhambi kubwa kufanya hivyo. Na inawezekana
Huyo waziri ni mnafq tangu lini mwana siasa akawa na dini?siasa ni mfumo unaopingana na mafundisho ya dini ya kiisilamu kwa asilimia [emoji817] awape mikono tu matwaghuti wenzie asinifiche kwenye dini hali ya kuwa mfumo wake unapiga imani ya uisilamu
 
Kakwambia nani? Kwa hivyo kila nafasi za dunia hii za uongozi washike wasiokuwa waislam? Mzidi kuwaburuza?
Huyo waziri ni mnafq tangu lini mwana siasa akawa na dini?siasa ni mfumo unaopingana na mafundisho ya dini ya kiisilamu kwa asilimia [emoji817] awape mikono tu matwaghuti wenzie asinifiche kwenye dini hali ya kuwa mfumo wake unapiga imani ya uisilamu
 
Nilifhani labda ni najis. Nilitaka niwaulize aliwezaje kukaa miezi tisa sehemu najis?
Mwanadamu sio najisi muisilamu anaruhusiwa kuwapa mikono wanawake wafatao mkewe dada yake mtoto wake wa kike dadake mamake mke wa babake shangazi yake bibi yake mama mke wake

Huyo waziri ni mnafq wanasiasa hawana dini sababu siasa inahalalisha haramu na kuharamisha halali zote zilizomo kwenye qur,an kama pambe kamari riba nk
 
WAnastasia kama hawana dini basi hata hao wanachama wa vyama vya siasa itakuwa hawana dini. Wasiswali wala wasiende ktk nyumba za ibada.
UMEIFAHAMU VIBAYA DINI
Mwanadamu sio najisi muisilamu anaruhusiwa kuwapa mikono wanawake wafatao mkewe dada yake mtoto wake wa kike dadake mamake mke wa babake shangazi yake bibi yake mama mke wake

Huyo waziri ni mnafq wanasiasa hawana dini sababu siasa inahalalisha haramu na kuharamisha halali zote zilizomo kwenye qur,an kama pambe kamari riba nk
 
Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake​

k
Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono.

Baadhi ya watu wanaamini Laing kama kuonyesha kuudhika na hilo. Wengine wamekosoa uamuzi wa Barre, huku wengine wakiunga mkono kwa sababu za kidini.

Baadhi ya Waislamu hawapeani mikono na wanawake ambao si wake zao, wanaamini ni dhambi kuwagusa wanawake wasio wake zao.

Yapo matukio mengine ya Waziri Mkuu huyo akiwasalimia wanawake bila ya kuwapa mkono - katika maeneo anayotembelea au viwanja vya ndege akiwakaribisha wanadiplomasia, viongozi na wageni wengine.

Mtume amesema. Bora ushike kaa la moto kiganjani kuliko kupeana mikono mwanamke na mwanamme wanaoruhusiwa kuoana. Kwani dhambi kubwa kufanya hivyo. Na inawezekana
Ni upuuzi mtupu kuamini mambo ya kwenye Quran. Quran yenyewe ni kitabu kiliandikwa na wajanja halafu Muhamad akapewa na kuwadanganya kuwa ameteremshiwa na Mungu.
 
Wenzio makafiri yaliobobea ktk kiarabu waliambiwa kama hicho kitabu kimetungwa na binaadam basi na wao walete japo aya 1 inayofanana na Quran wameshindwa. Unaona biblia kila papa akija anakuja na version yake lkn Quran ndio ile ile
 
Huyo waziri ni mnafq tangu lini mwana siasa akawa na dini?siasa ni mfumo unaopingana na mafundisho ya dini ya kiisilamu kwa asilimia [emoji817] awape mikono tu matwaghuti wenzie asinifiche kwenye dini hali ya kuwa mfumo wake unapiga imani ya uisilamu
Mwanadamu sio najisi muisilamu anaruhusiwa kuwapa mikono wanawake wafatao mkewe dada yake mtoto wake wa kike dadake mamake mke wa babake shangazi yake bibi yake mama mke wake

Huyo waziri ni mnafq wanasiasa hawana dini sababu siasa inahalalisha haramu na kuharamisha halali zote zilizomo kwenye qur,an kama pambe kamari riba nk
kweli kabisa ni zaidi ya unafiki
demokrasia ambayo ni Haram ameikubali ila kupeana mikono ndio kakataa!
 
Wenzio makafiri yaliobobea ktk kiarabu waliambiwa kama hicho kitabu kimetungwa na binaadam basi na wao walete japo aya 1 inayofanana na Quran wameshindwa. Unaona biblia kila papa akija anakuja na version yake lkn Quran ndio ile ile
Wacha kulinganisha Biblia na vitu vya hovyo vilivyoandikwa karne 13 zilizopita. Mumefumbwa maarifa ndiyo maana mnasoma kutoka kulia bila sabau na mnaswali kiarabu huku mkigonga kichwa kwenye sakafu na mikundu juu
 
Wacha kulinganisha Biblia na vitu vya hovyo vilivyoandikwa karne 13 zilizopita. Mumefumbwa maarifa ndiyo maana mnasoma kutoka kushoto bila sabau na mnswali kiarabu huku mkugonga kichwa kwenye sakafu na mikundu juu
Matusi ya nini? Kulikuwa na makafiri wakubwa wenye fedha walikuwa hawatukani. Wewe unalala chumba pamoja na dada yako unaleta matusi
 
Back
Top Bottom