Nimekucheck PM πHiyo ndo hamu pekee unayoijua eenhe π€£ π€£ π€£
Pole kwa kushtuka!
NakaziaDahhhh.....
Nimekuja nduki nikidhani ni chakula ile ya usiku mazee...π
Nyuzi zingine muwe mnaweka heading zisizo shitua mtima...π€£
π Daah ugali na dagaa na kapili pili π napenda sana!Leo hii nilikuwa na hamu ya kula ugali dagaa.....nimehangaikia dagaa hadi nikawapata, nimewala na ugali na pilipili
Ushindwe πUtakuwa una mimba changa
Huwa unafanya nini kuituliza? au umeoa hivyo unamgeukia tu mkeo na kujilia mbususu.hamu ya kula mbususu huwa inasumbua sana, usingizi hauji
Mkuu naweza kukuuliza kitu?
Chakula changu pendwa sanaππ,. Hasa dagaa wakipikwa na naziLeo hii nilikuwa na hamu ya kula ugali dagaa.....nimehangaikia dagaa hadi nikawapata, nimewala na ugali na pilipili
Hapana mai, cravings tu za kawaida πKwan we mjamwepes??
Umepika mwenyewe?Leo hii nilikuwa na hamu ya kula ugali dagaa.....nimehangaikia dagaa hadi nikawapata, nimewala na ugali na pilipili
we acha tu ndugu yangu huwa inatesa sana, wife akiwepo unageuka upande wa pili, sasa kama hayupo huwa inakuwa ntihani sanaHuwa unafanya nini kuituliza? au umeoa hivyo unamgeukia tu mkeo na kujilia mbususu.
Sina πhauna mimba changa
Fuga πMuhimu uwe na uwezo wa kukipata kwa wakati; mfano natamani sana nipate nyama ya sungura pori, changamoto utawapata wapi.