Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...Wa stendi unaonekana mshamba sana tena wakuja Hamza hakuwa solger kivile anaonekana wazi sio mjuzi kabisaa kabisa wa yale .Wa stendi ile kitu si mchezo ikipata mwenyewe hao polisi wakisikia tu ule upigaji wako wanajua huyu jamaa si mchezo Hamza alikuwa ngawira tu uwanjani pk yake anasema piga mimi ingekuwa kidume cha sawa sawa alikuwa anapiga na kuwafuata huko huko wakajua mziki wake .