wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
- Thread starter
- #221
Kwa sababu hatujazoea ...Ok. Inawezekana pia....... Vijana wa kisomali na kiarabu Wana mambo mengi.
Sio sisi tukitaka kuandamana tunaambiwa tuandamane kuzunguka kitanda na tunatii bila shurti.
Pancha tuu ya baiskeli watu wanajaza kwenye mtaro[emoji13]