Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

wewe unatoa wapi taarifa kwamba alikuwa na madini!!
Wapi nimesema alikuwa na madini? Post yangu ni hii hapa chini
Kwahiyo kwavile Masaki hakuna soko la madini ndo watu hawawezi kwenda kuuza madini?! Unasema hayo kwa sababu unajua kuna yale masoko aliyoyaasisi Magu! Je, kabla ya hapo watu walikuwa wanauza wapi?! Na hivi unadhani kila mmoja anaenda kuuza madini kwenye masoko ya Magu?
Sijasema popote kwamba alikuwa na madini bali nilikuwa na-crash hoja yako ya kwamba Masaki hakuna soko la madini!! Baada ya kuku-crash, ndipo pamoja na mambo mengine ukasema "hakuwa na madini", nami ndipo nikakuuliza "umepata wapi maelezo kwamba hakuwa na madini! Hilo swali hujajibu, unaniuliza
!nan anayekudanganya kwa dharau namna hiyo hakupi hata nafasi ya kumuuliza alishuhudia hayo akiwa amekaa wapi!!!
Sasa ni nani aliyedanganywa?! Ni mimi niliyehoji "...kwavile Masaki hakuna soko la madini ndo watu hawawezi kwenda kuuza madini" au wewe uliye-conclude kwamba "hakuwa na madini" ingawaje umeshindwa kujibu wapi umepata maelezo kwamba hakuwa na madini?
ni polis wepi waliompora hayo madini hao aliowaua au wengine!!![emoji116][emoji116

kama ni wengine kwanini hakuua hao na pistol alikuwa nayo tayari??
kama ni hawa kwanini alipomaliza kuwaua hakuchukua madini yake!!au shuhuda wako anaendela kukudharau kwa kukwambia shujaa wako alikutwa na madini akiwa kalala pale chini!!!
Maswali yote hayo hayana mantiki kwa sababu hakuna niliposema kanya'ngwanya madini!!
swala la madini kuuzaa masaki kwenye geto la mtu mimi sijapingana nalo,ninachopingana nacho ni wewe kisema alikuwa anakwenda kuuza madini ambayo sio kweli.
Onesha nilipoandika "alikuwa anaenda kuuza madini"!
 
Wapi nimesema alikuwa na madini? Post yangu ni hii hapa chini

Sijasema popote kwamba alikuwa na madini bali nilikuwa na-crash hoja yako ya kwamba Masaki hakuna soko la madini!! Baada ya kuku-crash, ndipo pamoja na mambo mengine ukasema "hakuwa na madini", nami ndipo nikakuuliza "umepata wapi maelezo kwamba hakuwa na madini! Hilo swali hujajibu, unaniuliza

Sasa ni nani aliyedanganywa?! Ni mimi niliyehoji "...kwavile Masaki hakuna soko la madini ndo watu hawawezi kwenda kuuza madini" au wewe uliye-conclude kwamba "hakuwa na madini" ingawaje umeshindwa kujibu wapi umepata maelezo kwamba hakuwa na madini?

Maswali yote hayo hayana mantiki kwa sababu hakuna niliposema kanya'ngwanya madini!!

Onesha nilipoandika "alikuwa anaenda kuuza madini"!

masaki hakuna soko la madini.
 
Mimi mwenyewe naweza tumia silaha japo similiki silaha

Ukikaa ovyo nakutandika
 
Usimsifie Hamza. Tatizo ni polisi wetu. Wamefundishwa kuzuia maandamano ya raia wasiokuwa na silaha akina Mbatia, CHADEMA, Rungwe... Kwenye silaha hamna kitu. Hata majambazi unaosikia eti wameuawa na polisi eti wakati wa kurushiana risasi ni uongo. Huwa wanawakamata wakiwa hai na kuwapiga risasi.
Utasikia 'Rijambazi rimeuwawa katika makabiriano makari na porisi' hovyooo..

Hivi siku watokee wahuni kama wale wa West Gate sijui itakuaje,mungu epushia mbali.

Hawa kazi kuzuia maandamano na kupiga risasi hovyo hovyo,ndio hizo mara zitue kwa kina Akwilina.
 
Ali
Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.

Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tu ni sniper kabisa

Je, atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Alijifunza kwenye movie ya Chuck Noris na maVietnam
 
Kwanza ile body inam favour kumudu silaha.

Pili sasa hivi tunaishi kwenye dunia ya utandawazi, mambo mengi yako mtandaoni kwa hiyo sio kazi ngumu sana kuelewa jambo jepesi kama lile. Japokuwa inawezekana kabisa kuwa alikuwa na mafunzo.
Kwa upigaji ule sio tuu kajifunza kwenye mtandao yule anamafunzo tena ya ukakamavu na ujasiri kabisa
 
Umenena sahihi,Haina Shaka kabisa mwamba huyu ni mjuzi wa vitu hivyo,licha ya mafunzo kwani wengine tumepitia mgambo au jkt,swali au mshangao ni hayo mazoezi ya vitendo,utimsmu kayapata wapi? Tena yaonekana Yu sambamba na wakati Kama katoka kozi Jana du!!
 
Yule dogo maneno mengi yatasemwa na mengine mengi yatasemwa na kila anayejiskia kufanya hivyo. Kwa sababu yeye hayupo kuyathibitisha basi sio rahisi kwa anayesema kuyathibitisha au anayepinga pia kuthibitisha kupinga kwake.

Imebaki guess work tu. Ila tunachojadili hapa ni mazingira ya tukio na “hypothetical reasons” zinazoweza kuwa associated na tukio hata kama sio kwa ukamilifu wa 100%. Kwa mtazamo wa haraka haraka kuna mambo nahisi kama yafuatayo;

1. Pamoja na kuwa mmiliki wa silaha ya kujilinda ambayo kwa kawaida ni hizi pistol anapewa mafunzo ya jinsi ya kuitumia “kujilinda” na “kuepusha madhara kwa wasiohusika”, umahiri aliouonyesha Hamza umeenda mbali zaidi nje ya mafunzo hayo wanayopewa wanaomiliki silaha kihalali.

2. Bila kujali kama SMG ni ya kivita au la, kwa nguvu iliyonayo silaha hiyo, mtu asiye na mafunzo “ya vitendo” sio kwanye game au online, hawezi kuimudu kwa namna ile aliyofanya Hamza. Silaha ile ni nzito na mlipuko wake huhitaji mtu mzoefu kuimudu hasa katika kuipeleka risasi ipige unapotaka (target).

3. Bila kujali kama kilichotokea ni ugaidi au la, motive behind iliyomsukuma Hamza kuwa very selective kuwa anataka kuua askari tu na si raia inaleta uwezekano mkubwa kuwa kuna kitu hakikuwa sawa baina yake na police. Kusema ni madini au la hakuna anayejua kwa uhakika ila KIPO kitu kinachowahusu police na Hamza.

4. Hamza alikuwa na akili timamu zinazoweza kufanya maamuzi sahihi tena akiwa kwenye pressure kubwa ya kukikabili kifo. Hili linathibitishwa na namna ambavyo hakutaka kudhuru raia. Na kitendo hiki ndio kinamtoa kwenye sifa za magaidi tunaowasikia katika matukio ya ulimwengu ambao wao huona wamefanikiwa wakiua idadi kubwa ya watu wasio na hatia. Huyu huenda akawa ni gaidi (motive zake na mafunzo au skills zake) ila kitendo alichofanya hakina sifa ya ugaidi.

5. Ujasiri wake sio wa nchi hii. Inaleta walakini kuwa huenda kuna mafunzo tena ya hali ya juu ya vitendo sio kuangalia movies au online ambayo alikuwa amefuzu vizuri. Kuna kuwa na uelewa wa jambo fulani lakini kuna uwezo wa kulifanya jambo hilo kwa vitendo. Hivi ni vitu viwili tofauti.

6. Hamza ame trigger waking call kwa umma na vyombo vya ulinzi na usalama na kwa kweli ni alert kubwa sana kuwa huenda wapo watu wenye uthubutu usiojali uhai wao kama Hamza na ni vizuri kufanya analysis ya kina kuangalia ni maeneo gani jeshi linatakiwa kuboresha likianza na vyanzo au sababu zinazoweza kufanya matukio kama haya kutokea, kwa maana ya kuyazuia kiintelijensia na kuwa na utayari wa kuyakabili yakitokea
 
Hamza alikua na extensive knowledge and skills za kutumia hizo military style riffles.

Ukiangalia jinsi alvyokua anazishikilia, anazitumia, yule ana mafunzo ya juu yautumiaji wa siraha, hasa defensive and offensive firing techniques, tena advanced, military style.

Angalia alipokua kwenye kale kakibanda pale ubalozini anarushiana na yule jamaa risasi. Alikua anapiga risasi comfortably kabisa.

Kutumia siraha kubwa lazima uwe na mafunzo.
Jamaa ni mjuzi haikuwa video ina onyesha haikuwa mgeni kutumia icho kitu.
 
Ama Muslim brotherhood, si nasikia alienda huko misri kusoma???
Ok. Inawezekana pia....... Vijana wa kisomali na kiarabu Wana mambo mengi.

Sio sisi tukitaka kuandamana tunaambiwa tuandamane kuzunguka kitanda na tunatii bila shurti.
 
Silaha haihitaji ufundi wa kutisha Boss
Jidanganye ...
Ingekuwa hivyo hao askari wetu wangekuwa hawaingii pori wangekuwa wanawekewa tuu screen kubwaaa wanajifunzia hapo kwa picha
 
Alafu ukaishia wapi
Basi nikarudi zangu mtaani mkuu. You as a man you've to have the men's skills.
Kikinuka hata umepata silaha how gonna you defend /rescue your society/family or the loved one.
So waweza pewa silaha iko lock you've to unlock it. Sio ukae Kama ke kisa una career Kuna maisha mengine mbali na career mkuu. Just my personality please don't judge
 
Basi nikarudi zangu mtaani mkuu. You as a man you've to have the men's skills.
Kikinuka hata umepata silaha how gonna you defend /rescue your society/family or the loved one.
So waweza pewa silaha iko lock you've to unlock it. Sio ukae Kama ke kisa una career Kuna maisha mengine mbali na career mkuu. Just my personality please don't judge
Ahaa sawa
 
Back
Top Bottom