Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kwavile Masaki hakuna soko la madini ndo watu hawawezi kwenda kuuza madini?! Unasema hayo kwa sababu unajua kuna yale masoko aliyoyaasisi Magu! Je, kabla ya hapo watu walikuwa wanauza wapi?! Na hivi unadhani kila mmoja anaenda kuuza madini kwenye masoko ya Magu?
Ama Muslim brotherhood, si nasikia alienda huko misri kusoma???Nadhani likizo zake alizitumia na alshabaab
Mbona hii attachment haifungui kwangu msaada naomba
Sijui aisee labda utumie browserMbona hii attachment haifungui kwangu msaada naomba
Ufipa wakisema hivyo si 'mataga' watasema ni uchawiUfipa watakwambia YouTube ndiyo kila kitu.
Wa stendi unaonekana mshamba sana tena wakuja Hamza hakuwa solger kivile anaonekana wazi sio mjuzi kabisaa kabisa wa yale .Wa stendi ile kitu si mchezo ikipata mwenyewe hao polisi wakisikia tu ule upigaji wako wanajua huyu jamaa si mchezo Hamza alikuwa ngawira tu uwanjani pk yake anasema piga mimi ingekuwa kidume cha sawa sawa alikuwa anapiga na kuwafuata huko huko wakajua mziki wake .Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tu ni sniper kabisa
Je, atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
J.K.TUkiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tu ni sniper kabisa
Je, atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Hizi ndio fitna munazozitaka zifanyike haya endeleaAma Muslim brotherhood, si nasikia alienda huko misri kusoma???
Hamza the duduman Squaresi alikuwa green guard tena kada mtiifu
Smg sio silaha ya kivita mkuu?kwako wewe silaha ya kivita ni silaha gani?Kwanza hiyo siyo silaha ya kivita
Pili kama unataka kununua silaha unapata na mafunzo ya jinsi ya kutumia vile vile mtu yoyote anaweza kukufundisha
Alizikwa jana na ilikuwa liveHivi kashazikwa? Sijasikia habari za mazishi
Hakuwa na madini yoyote kwa mujibu wa maelezo ya nani? Au ni lini hiyo unayosema "hakuwa na madini ya aina yoyote"?sijasema hivyo kwasababu nataka nikubishie,ila ni kwa sababu hakuna soko la dhahabu na wala hamza hakuwa na madini ya aina yeyote.
Kwanini wasiuzie kwenye nyumba za watu? Nini kisichowezekana kwa wafanyabiashara wa hayo madini kukutana ama nyumbani kwa mtu au hotelini? Au unachukulia kuuza madini ni kama kwenda kuuza nyanya; kwamba unaondoka na nyanya zako wakati hujui unaenda kumuuzia nani?!kama wanauza kwenye nyumba za watu kama matunda sio issue,ila hamza hakuwa nayo hata hayo ya kutembeza.
Muslim Brotherhood sio wazembe kama HamzaAma Muslim brotherhood, si nasikia alienda huko misri kusoma???
Sasa usichokiweza wewe ndio unataka watu wote nao wasikiweze?Sawa hata mimi mtandaoni naweza lakini sio kuingia nayo front nianze kurushiana marisasi kiasi kile
Hakuwa na madini yoyote kwa mujibu wa maelezo ya nani? Au ni lini hiyo unayosema "hakuwa na madini ya aina yoyote"?
Kwanini wasiuzie kwenye nyumba za watu? Nini kisichowezekana kwa wafanyabiashara wa hayo madini kukutana ama nyumbani kwa mtu au hotelini? Au unachukulia kuuza madini ni kama kwenda kuuza nyanya; kwamba unaondoka na nyanya zako wakati hujui unaenda kumuuzia nani?!
Kwanza ile body inam favour kumudu silaha.Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tu ni sniper kabisa
Je, atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Unadhani tabia za uhafidhina zin nafasi ya kuzuia watu wasipate maarifa madogo madogo kama hayo.Ufipa watakwambia YouTube ndiyo kila kitu.