goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Kina wakt mwaka 2013 nilitaka kuiba silah Kama ile ya hmza ..ilikuwa HV mm nilikuwa. Nimeajiriwa ktk kampuni ya mikopo sas siku ya kugawa mikopo huwa tunaita askar waje kusimamia pesa zile kuweza kugaiwa kwa kina mam bas bhna baada ya kumalizia kugawa mikopo askri yule mm nilijuwa aliondoka kwa vile ndio mtu wa mwisho kuondoka pale ofcn mm nilibaki kwa vile kulikuwa na demu nilimuandaa kuja kumchakata siku hyo baada demu kaja nikampeleka ktk chumba Cha mliz wa usku kwa vile mlinz wa usku alipewa room kbsa ktk ofc ile
Demu alivyokuja mm nikapeleka Moja kwa moja chumbani kwa mlinz huku na mm nikitoka nnje kucheki usalama ..bas nikaona fresh mm nikarud zangu kuchata kbla cjachakata nikacheki mazingira Kama kuko fresh mkp ufunguni kukagua baanae kumbe jamaa alificha silah yake ufunguni akaenda kunywa pombe jirani bila kumuaga mtu ....duh bas nikaitoa wazo la kutaka kuiba lilinijia ila niliona huyu mzichan anaweza kuja nisaliti ..ingawa nilifikiru ikikah had saamoja hawajaja kufata bas ningeiba ili akili iwakae sawa polis wale ...leo na mm ningekuta namiliki chuma