GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Ndio Smg zile na copy yake Norinco AK47 ya China ni ya kivitaSiku hizi Polisi wanatumia slahaa za kivita?
BTW hadi mabomu ya kurusha kwa mkono polisi wanatumia pia na Artillery launchers ndogo ndogo sijaongelea LMGs na MGs zenyewe pia