Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

Ok. Inawezekana pia....... Vijana wa kisomali na kiarabu Wana mambo mengi.

Sio sisi tukitaka kuandamana tunaambiwa tuandamane kuzunguka kitanda na tunatii bila shurti.
Kwa sababu hatujazoea ...
Pancha tuu ya baiskeli watu wanajaza kwenye mtaro[emoji13]
 
Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.

Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tu ni sniper kabisa

Je, atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Halafu watu wazima wanaleta habari ya kudhulumiwa oh sijui dhahabu
 
Yule jamaa ukichek tu jins anavyoshika ike silaha inaonyesha ni mzoefu sana
Yani ni kama mtu ulivyozoea kuwasha simu yako
Kwanza ana shabaha kuliko hata wale askari
Kwa hiyo sio jamb la kusema kajifunza youtube
Kujifunz kitu mtandaon bila kukion na kukishik ni vitu viwil tofaut
 
Nishabisha hadi nimeamua kukaa kimya eti naaminishwa nikitaka na mimi kujua kama yeye eti niingie you tube
 
Kwa alivyo tafu vile pandikizi la baba atakama akujifunza kabla sizani kama ingemshinda
 
Hamza was a real sniper! Kwa Target zake zile nina hakika hakuna Police angeweza kumsogelea kwenye kile kijumba. Yani mbinu ya mabomu ya machozi ndio ilifanikiwa.
Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.

Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tu ni sniper kabisa

Je, atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Was
 
Nishabisha hadi nimeamua kukaa kimya eti naaminishwa nikitaka na mimi kujua kama yeye eti niingie you tube
Kujifunza youtube lazim uwe na hiyo silaha sasa ili uende sawa na mfundishaji
Sasa hamza ameonyesha uzoefu na ujuzi mkubw kuliko hata wale polisi
 
Kwanza hiyo siyo silaha ya kivita

Pili kama unataka kununua silaha unapata na mafunzo ya jinsi ya kutumia vile vile mtu yoyote anaweza kukufundisha
Hiyo SMG ni silaha ya kivita mzee; siyo silaha ya kuwindia au ya kujikinga. Kwa Tanzania SMG haziuzwi kwa raia huko mitaani. raia wanaruhusiwa kununua rifles na bastola tu.
 
Askari polisi wanaruhusiwa kutembea na silaha za kivita?
 
Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.

Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tu ni sniper kabisa

Je, atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?

Hiyo ni silaha nyepesi kutumia. Hata wewe kama uko timamu ukielekezwa siku moja tu unaweza. Kuna michezo pia inatumia silaha feki kujiburudisha, hata pale bagamoyo ipo, inakupa experience nzuri tu. Ni wewe tu uelewa wako ni finyu kuhusu hiyo mada
 
Kwa alivyo tafu vile pandikizi la baba atakama akujifunza kabla sizani kama ingemshinda
Silaha kama haujajifunza au kupitia mafunzo fulani asikudanganye mtu ile haizoeleki tena silaha yenyewe kubwa ?
 
Kujifunza youtube lazim uwe na hiyo silaha sasa ili uende sawa na mfundishaji
Sasa hamza ameonyesha uzoefu na ujuzi mkubw kuliko hata wale polisi
Hapo tuu ndio pananitia shaka.
Hata kama alifundishwa alifundishwa kibastola hicho hata mie nikikiokota naweza tumia sio kwa mjedeja ule kautumia kibadhubuti sana
 
Hiyo SMG ni silaha ya kivita mzee; siyo silaha ya kuwindia au ya kujikinga. Kwa Tanzania SMG haziuzwi kwa raia huko mitaani. raia wanaruhusiwa kununua rifles na bastola tu.
Tumsamehe bure.
 
Sandali ali mimi ninachojua kaka hamza amemuacha mzee siro na ganzi.unataka kusema kaka hamza ametoka msumbiji?basi mzee siro aunde tume tujue ukweli.hayo mengine shida ni kwamba polisi hawakutaka kuja kuyajua maan uwezo wa kumkamata walikuwa nao
Sidhani kama utasikia majibu ya hiyo tume
 
Kwahiyo kwavile Masaki hakuna soko la madini ndo watu hawawezi kwenda kuuza madini?! Unasema hayo kwa sababu unajua kuna yale masoko aliyoyaasisi Magu! Je, kabla ya hapo watu walikuwa wanauza wapi?! Na hivi unadhani kila mmoja anaenda kuuza madini kwenye masoko ya Magu?
Tumsamehe bure
 
Back
Top Bottom