Hamza Johari anahusiakaje na Mkataba wa Bandari?

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa

tcaa-pic.jpg

Hamza Johari

UPDATE (Agosti 14, 2024)
- Hamza Johari ateuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
 
KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? au ni Nani sijaelewa

View attachment 2664532
Hamza Johari
Bila shaka ni mdau wa bandari
 
KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? au ni Nani sijaelewa

View attachment 2664532
Hamza Johari
Navyomfahamu huyu jamaa ndie Director General wa TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY, Yaan mamlaka ya Usalama wa Anga.

Sasa Anga na Bandari vinahusianaje basi labda mwengine anaeelewa zaidi aelezee.
 
Ni kifaa kinachotumika kuiuza Tanzania.

Ukumbuke kwamba kuna watu waliotumika kuwauza wenzao utumwani enzi zile.

Usidhani enzi hizi watu wa aina hiyo hawapo, wapo sana, hata humu ukumbini wamo.
 
Navyomfahamu huyu jamaa ndie Director General wa TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY, Yaan mamlaka ya Usalama wa Anga.

Sasa Anga na Bandari vinahusianaje basi labda mwengine anaeelewa zaidi aelezee.
Haya sasa, hebu ona ulaghai anaofanya Samia kwa waTanzania?
Ni ajabu sana huyu mama anavyowaona watu wa nchi hii na kufikiri hawana akili kabisa.
 
Ugali siyo mchezo!

Hata hivyo haitasaidia! Wananchi tunajambo letu,

Tunataka Katiba itakayoipa hadhi Tanganyika yetu
😀😀😀 Ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, walipokuwa wanalalamika wazanzibar hatukuwasikiliza
 
Navyomfahamu huyu jamaa ndie Director General wa TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY, Yaan mamlaka ya Usalama wa Anga.

Sasa Anga na Bandari vinahusianaje basi labda mwengine anaeelewa zaidi aelezee.
Si wanasema na anga letu wamepewa DP waarabu
 
Back
Top Bottom