macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mdau wa vipedo. Huu ni mradi wa ku-isilimisha nchi. Wanadai eti wanataka kumaliza mfumo kristo. Mama wa kambo siyo mama.Bila shaka ni mdau wa bandari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdau wa vipedo. Huu ni mradi wa ku-isilimisha nchi. Wanadai eti wanataka kumaliza mfumo kristo. Mama wa kambo siyo mama.Bila shaka ni mdau wa bandari
Menopause inahusika hapaIla zamani alikuwa nondo sana nadhani amezeeka labda, mdini balaa
Chawa wa Nani?Chawa
Akili za kijuha kweli kweli hizi. Mwarabu wa DPW yupo mpaka Uingereza anaendesha bandari mbili. Na huko na kwenyewe kawauza waingereza utumwani!. Foolish minds.Ni kifaa kinachotumika kuiuza Tanzania.
Ukumbuke kwamba kuna watu waliotumika kuwauza wenzao utumwani enzi zile.
Usidhani enzi hizi watu wa aina hiyo hawapo, wapo sana, hata humu ukumbini wamo.
Navyomfahamu huyu jamaa ndie Director General wa TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY, Yaan mamlaka ya Usalama wa Anga.
Sasa Anga na Bandari vinahusianaje basi labda mwengine anaeelewa zaidi aelezee.
Akili za kijuha kweli kweli hizi. Mwarabu wa DPW yupo mpaka Uingereza anaendesha bandari mbili. Na huko na kwenyewe kawauza waingereza utumwani!. Foolish minds.
Povu linakusumbua. Mnakuja kutaka kuponda maamuzi ya serikali wakati hamna hoja zozote za msingi.Nshamalizane na wewe.kwa sababu nishajua huna akili za kukuwezesha kuelewa yanayoelezwa...; na hata mara moja moja akili ikikuwezesha kuelewa, unajifanya huelewi, kwa sababu wewe ni kati ya hao wanaotumiwa na mafisadi.
Mkataba wa hao DP World walioingilia huko Uingereza umeuchambua ukaona unayo mambo ya kipuuzi kama haya wanayotetea akina Hamza Johari?
Tafadhali, usiendelee kunipotezea muda wangu.
Huna lolote la ziada kunionyesha kuwa una uelewa wowote wa jambo linalojadiliwa.
Wewe huna tofauti yoyote na akina 'Lord Denning' atu ambao nilishawadharau siku nyingi.
Kwani wa hapa we umeuona wapi?Nshamalizane na wewe.kwa sababu nishajua huna akili za kukuwezesha kuelewa yanayoelezwa...; na hata mara moja moja akili ikikuwezesha kuelewa, unajifanya huelewi, kwa sababu wewe ni kati ya hao wanaotumiwa na mafisadi.
Mkataba wa hao DP World walioingilia huko Uingereza umeuchambua ukaona unayo mambo ya kipuuzi kama haya wanayotetea akina Hamza Johari?
Tafadhali, usiendelee kunipotezea muda wangu.
Huna lolote la ziada kunionyesha kuwa una uelewa wowote wa jambo linalojadiliwa.
Wewe huna tofauti yoyote na akina 'Lord Denning' atu ambao nilishawadharau siku nyingi.
Madalali wanaotumwa na mafisadi wa bandari, mmoja wao ni huyo.
Kama sisi tuna haki ya kuukosoa Mkataba bila ya kuulizwa Ajira zetu tuwape wengine haki ya kuutetea ili mjadala uwe mpana na wa uwazi zaidNavyomfahamu huyu jamaa ndie Director General wa TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY, Yaan mamlaka ya Usalama wa Anga.
Sasa Anga na Bandari vinahusianaje basi labda mwengine anaeelewa zaidi aelezee.
Acha uongoMdau wa vipedo. Huu ni mradi wa ku-isilimisha nchi. Wanadai eti wanataka kumaliza mfumo kristo. Mama wa kambo siyo mama.
Sawa lkn sio kwa mikataba hii ya kipimbi pimbiAkili za kijuha kweli kweli hizi. Mwarabu wa DPW yupo mpaka Uingereza anaendesha bandari mbili. Na huko na kwenyewe kawauza waingereza utumwani!. Foolish minds.
Akili za kijuha kweli kweli hizi. Mwarabu wa DPW yupo mpaka Uingereza anaendesha bandari mbili. Na huko na kwenyewe kawauza waingereza utumwani!. Foolish minds.
Money talkKUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa
View attachment 2664532
Hamza Johari
KuwadiKUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa
View attachment 2664532
Hamza Johari