Hamza Johari anahusiakaje na Mkataba wa Bandari?

KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa

View attachment 2664532
Hamza Johari
Hatukatai biashara ya bandairi tatizo ni terms and conditions of investment agreement between DPWORLD and republic of Tanzania
 
Hamza Johari ni expert katika international laws. Hutumika sana na serikali inapotatizwa na masuala ya sheria za kimataifa.

Htata wakati wa mzozo wa ziwa Nyasa kuhusu mpaka na Malawi aliitwa kushauri kama alivyotumika kwenye hili la bandar.

KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa

View attachment 2664532
Hamza Johari
 
KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa

View attachment 2664532
Hamza Johari
Tunataka majibu ya hoja zetu.

Nani anapaswa kutujibu?
 
Akili za kijuha kweli kweli hizi. Mwarabu wa DPW yupo mpaka Uingereza anaendesha bandari mbili. Na huko na kwenyewe kawauza waingereza utumwani!. Foolish minds.
Kwani mkataba alioandikiana na Uingereza ni sawa na wa Tanzania?, Mikataba inatofautiana?
Kinacholalamikiwa hapa ni masharti ya mkataba siyo mwekezaji( halafu unawaita watu foolish minds(kumbe wewe ndio foolish minds, unayedhani kuwa mwekezaji huwa anatoa mkataba wenye masharti sawa kwa kila mtu)).
Basi uwe unajifunza hata kwa FEISAL SALUM, ili ujue kuwa kila mtu ana mkataba wake.
NARUDIA
Mkataba usipotengenezwa vizuri wakati huu, ukawa hauwezi kusimama peke yake bila maelezo ya ziada( Basi hilo ni bomu litakaloanza kututafuna kuanzia Sasa hivi).

Tuachane na mawazo yasiyo na maana kuwa sisi na waarabu ni ndugu. Waarabu wanapigana wao kwa wao halafu wakuthamini wewe?, Akili ya kawaida tu, mwafrika huwezi kumwoa Binti wa kiarabu kule SAUDIA( ukiondoa walowezi wa bongo). WATANZANIA TUPIGANIE MKATABA UREKEBISHWE. KWANINI HAWATAKI KUREKEBISHA?, Kuna nini nyuma ya PAZIA?

BADALA YA KUREKEBISHA MKATABA, MTU ANATOA UFAFANUZI ambao haumo kwenye mkataba. MKATABA huwa una sifa ya objectivity (huwa unatafsirika wenyewe).
Tafsiri inaonesha kuwa ni ya hatari( kwanini, hatari iliyopo isiondolewe?, Kama kweli una nia njema).
 
Madalali wanaotumwa na mafisadi wa bandari, mmoja wao ni huyo.
Dalali wa kuuza nini hapa?
Anayepinga mikataba mibovu hawezi kuwa dalali. Anayepigania Tanzania tupate mikataba mibovu ya kutufanya kuwa watumwa maisha yetu yote, huyo ana sifa ya kuwa dalali ( Na vizuri akae kimya, Kwasababu ana mawazo ya kitoto ya kudhani kuwa mara zote watu fulani ni wema).
 
Unaposema mikataba mibovu unashikiwa kalamu ili uisaini?. Wasomi wetu wametumia zaidi ya miezi sita kukaa mezani na wataalam wa DPW kupitia kifungu baada ya kifungu mpaka ukaandikwa huo mkataba.

Ubovu wake unausema sehemu gani ili ufanyiwe kazi. Usipoteze biashara nzima kwa maandishi tu yenye kuweza kukosolewa na kurekebishwa, sio vifungu vya Biblia na Quran visivyoweza kuguswa.
 
KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa

View attachment 2664532
Hamza Johari
Mzalendo
 
Hamza Johari ameshamaliza kazi yake na sasa karudi kuendelea na masuala ya sekta ya anga.

Alikuwa ni kiongozi wa wanasheria wa Tanzania katika michakato yote ya kusaini huu mkataba pamoja na wale wa DPW amerudi katika eneo lake na masuala yote yaliyobakia yaelekezwe kwa mkurugenzi mkuu wa TPA wa sasa na wanasheria wengine wa serikali.
 
KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa

View attachment 2664532
Hamza Johari
Atakuwa mwanasheria wa familia ya malkia.
 
KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa

View attachment 2664532
Hamza Johari
Hamza alichukuliwa na serikali ya JPM kwa ajili ya kusaidia katika masuala ya mikataba. Ni mkurugenzi mkuu wa TCAA aliyekwenda kusaidia pale TPA kwa muda tu.

Amerudi kuendelea na masuala ya anga, hivyo suala zima la DPW na serikali ya TZ limerudi kwa mkurugenzi wa TPA na ataendelea nalo.
 
Akili za kijuha kweli kweli hizi. Mwarabu wa DPW yupo mpaka Uingereza anaendesha bandari mbili. Na huko na kwenyewe kawauza waingereza utumwani!. Foolish minds.
Mkataba wa Uingereza au nchi zingine unafanana na mkataba wa JMT.Watanzania hawakatai kubinafsishwa au kukodishwa kwa Bandari.Watanzania,hususan wazalendo wanashauri kupitiwa upya vipengere vyenye mashaka, kazi uendelee.
 
Naam na sauti ya wengi ni ya Mungu, wamesikika wote wanaosema vipengele vipitiwe.
 
KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa

View attachment 2664532
Hamza Johari
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom