myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
🤣🤣Mdomo Koma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Mdomo Koma
Atakuwa wa "mbeya"Ha ha ha
Huyu Mheshimiwa nilishindwa kuelewa ana uhusiano gani na masuala ya Maji kulingana na nafasi aliyonayo kwenye masuala ya anga.
Hii ni kazi ya wanasheria kuelimisha jamii. Nadhani wanaendelea kuifanya...wanaopinga wanasema mkataba ni mbaya, hawasemi kwamba Dp sio kampuni kubwa yenye uwezo.
Maamuzi ya serikali?Povu linakusumbua. Mnakuja kutaka kuponda maamuzi ya serikali wakati hamna hoja zozote za msingi.
Hiyo IGA ni kitu gani? Haina uhusiano wowote na hiyo mingine itakayoingiwa huko baadae?
Mkataba wa dp world aliosaini uingereza ni wa kijuha kama huu wa tanzania?Akili za kijuha kweli kweli hizi. Mwarabu wa DPW yupo mpaka Uingereza anaendesha bandari mbili. Na huko na kwenyewe kawauza waingereza utumwani!. Foolish minds.
Ujuha unauona wewe tu mkuu mapesa. Tafuta wabobezi wa sheria wakupige shule utaacha kuuona huo ujuha.Mkataba wa dp world aliosaini uingereza ni wa kijuha kama huu wa tanzania?
Mmakonde wa Mtwara. Sijui Faiza ni mwenyeji wa wapi.Hana undugu na FaizaFoxy KWELI? Wacha niunganishe dots
Hizi porojo za kuuza utumwani wapelekewe watoto wa darasa la saba na form one wanaofanya bado mitihani ya history ili wakariri kwa kujiandaa na mitihani yao ya kumaliza mwaka. Upuuzi mtupu.Ni kifaa kinachotumika kuiuza Tanzania.
Ukumbuke kwamba kuna watu waliotumika kuwauza wenzao utumwani enzi zile.
Usidhani enzi hizi watu wa aina hiyo hawapo, wapo sana, hata humu ukumbini wamo.
haya nilishakueleza juu yake, hapa unarudia vile vile, ulivyoyasemea tokea huko mwanzo!Hizi porojo za kuuza utumwani wapelekewe watoto wa darasa la saba na form one wanaofanya bado mitihani ya history ili wakariri kwa kujiandaa na mitihani yao ya kumaliza mwaka. Upuuzi mtupu.
Jamaa wapo katika bandarini zaidi ya 30 duniani, kote huko lengo lao ni kuurudisha tena utumwa!?.
Kuna uzi wa mkataba mzima umo humu JF, na mjadala unaendelea kifungu kwa kifungu.haya nilishakueleza juu yake, hapa unarudia vile vile, ulivyoyasemea tokea huko mwanzo!
Wao kuwa sehemu zote duniani siyo hoja, hoja wanakuja kwa masharti gani hapa kwetu.
Masharti ya huko kwingine hatuyajui, na hata kama tungeyajua, si lazima yawe ndiyo na sisi inatupasa kukubaliana nao.
Sisi tunaweza kuwa na uhitaji maalum ulio tofauti na hao wengine, au hao hao DP World, anaweza kuja na masharti tofauti na anayoyataka huko kwingine.
Kwa nini hutaki tuhoji tunayoyaona hayatufai katika makubaliano hayo ya IGA; ambayo ndiyo tunajua ni msingi wa makubaliano ya mikataba itakayofuata?
Unachosha sana kwa kutokuwa na akili za kuelewa unachoelezwa.
This is a reasonable response, lakini nikwambie jambo:Kuna uzi wa mkataba mzima umo humu JF, na mjadala unaendelea kifungu kwa kifungu.
Tatizo upotoshaji upo hata huko kwenye hivyo vifungu vya mikataba. Wanasheria wameshaweka wazi kwamba hao DPW wakija hapa Tanzania watalazimika kujisajili BRELA wakifuata sheria za humu humu nchini.
Kinachoogopwa ni namna TPA itakavyokwenda kubadilisha mifumo yote ya uendeshaji na wezi wetu wanaokwepa kodi watakosa pa kukimbilia, hizi pesa za bure bure wanazogawa sasa hivi zitafikia mwisho.
Mkataba wa IGA hauendi kutumika kibiashara moja kwa moja, msijaribu kuleta upotoshaji na uzushi kwa wasomaji.haya nilishakueleza juu yake, hapa unarudia vile vile, ulivyoyasemea tokea huko mwanzo!
Wao kuwa sehemu zote duniani siyo hoja, hoja wanakuja kwa masharti gani hapa kwetu.
Masharti ya huko kwingine hatuyajui, na hata kama tungeyajua, si lazima yawe ndiyo na sisi inatupasa kukubaliana nao.
Sisi tunaweza kuwa na uhitaji maalum ulio tofauti na hao wengine, au hao hao DP World, anaweza kuja na masharti tofauti na anayoyataka huko kwingine.
Kwa nini hutaki tuhoji tunayoyaona hayatufai katika makubaliano hayo ya IGA; ambayo ndiyo tunajua ni msingi wa makubaliano ya mikataba itakayofuata?
Unachosha sana kwa kutokuwa na akili za kuelewa unachoelezwa.
Rais angekuwa ni JPM muda huu tungekuwa tumeshamaliza hii biashara na wote wanaopinga hivi sasa wangekuwa wa kwanza kupokea mkataba kwa kupiga makofi mengi.This is a reasonable response, lakini nikwambie jambo:
Serikali ikfanya jambo muhimu kama hili, na ionekane kama inafanya jambo lenyewe gizani, halafu ikishatiliwa mashaka makubwa katika mambo inayoyafanya ije na 'response' kama ilivyofanyika/inavyofanyika hapa, ni lazima watu watakuwa na mashaka makubwa.
Kumbuka, DP World siyo mwekezaji wa kwanza kuja kutaka kuwekeza hapa. TICTS, tayari tulikuwa nao hapa hapa, na walipokuwa wakichumbia, hali haikuwa tofauti na hii tunayoiona sasa hivi.
Nisiandike mengi, itoshe tu kusema hapa: 'credibility' ya Samia na serikali yake ipo mashakani sana, siyo katika jambo hili pekee, bali katika mambo mengi ambayo yamefanyika na watu kuhoji juu yake.
Mfano rahisi na ulio wazi zaidi ni mazungumzo ya maridhiano na CHADEMA na maswala yote yanayohusu Katiba Mpya, n.k.
Rais Samia siyo mtu wa kumwamini kwa lolote. Hii ndiyo staili yake ya utendaji na kuhadaa watu, kwa ujanja ujanja tu, katika maswala yaliyo muhimu sana katika nchi yetu.
Hao TPA unaowasema hapa, sina lolote la kuwatetea hao, na kwa kweli siyo hao tu. Nenda sehemu yoyote katika serikali yetu hii unipe mfano wowote wa kuigwa katika utendaji mzuri.
Sasa, una maana tutafute wawekezaji kila sehemu ili tufanyiwe kazi vizuri?
Kwa nini tusianzie huko juu, kwa kina Samia, ambao ndio wanaoshindwa kuwasimamia hawa wadogo wafanye kazi zetu vizuri.
haya yote nimekwishayaeleza kwako, lakini picha hiyo haikuingii kichwani kabisa. Naona unajojua kuliko kitu kingine chochote ni DP World (na siyo mwingine yeyote) aje hapa.
Hii ni ajenda yenu, siyo ajenda ya waTanzania.
Itakuwa unayo matatizo katika kusoma na kuelewa ulichosoma, siyo bure.Mkataba wa IGA hauendi kutumika kibiashara moja kwa moja, msijaribu kuleta upotoshaji na uzushi kwa wasomaji.
Sasa angalia ujuha huu hapa; tena unauandika bila ya aibu yoyote?Hiyo mikataba mingine ndiyo yenye kwenda kutekelezwa na ubia kati ya mwekezaji na mzalendo. Mnajaribu kuja na taswira mbaya ili kujenga negative perception, hawasaidii, serikali ikiwa na la kwake ni ngumu sana kuzuia ufanisi wake usije kutokea
IGA haina matatizo hayo unayoyasema wewe. Kama yapo yaweke hapa ili yafanyiwe kazi.Itakuwa unayo matatizo katika kusoma na kuelewa ulichosoma, siyo bure.
Niseme mara ngapi, kwamba IGA ikiwa na matatzo ndani yake, itasababisha matatizo katika hiyo mikataba mingine, ndipo uelewe?
Sasa angalia ujuha huu hapa; tena unauandika bila ya aibu yoyote?
Umekwisha wadharau TPA, ambao hata mimi ninawadharau. Hii mikataba unayoisema hapa hao malaika watakaohusika nayo kuiandaa wakishirikiana na hao DP World safari hii utakwenda kuwaokota wapi?
Sasa ninakuomba rasmi, acha kuniwekea takataka hizi na kupoteza muda wangu bure.
Sasa naanza kuelewa ni kwanini lukuvi na Kabudi ilibidi wawe nje ya BarazaHaya sasa, hebu ona ulaghai anaofanya Samia kwa waTanzania?
Ni ajabu sana huyu mama anavyowaona watu wa nchi hii na kufikiri hawana akili kabisa.
Hizi ni propaganda nisizokuwa na muda nazo kabisa.Rais angekuwa ni JPM muda huu tungekuwa tumeshamaliza hii biashara na wote wanaopinga hivi sasa wangekuwa wa kwanza kupokea mkataba kwa kupiga makofi mengi.
Samia kuamua kila kitu kijadiliwe hakuwa mjinga kama tunavyodhania. SSH ameshasema kuwa ndani ya miezi sita kuanzia sasa atakuwa anasoma kinachoendelea pale TPA akiwa ikulu.
Hatuwezi kuendeleza siasa nyingi za majitaka za majibizano wakati fursa ya kuongeza pato la taifa tunayo pale bandarini.
Hatuwezi kuendelea kusikiliza hoja nyingi za wapotoshaji wakati in reality ni muda wa kuleta mapinduzi ya uendeshaji wa bandari zetu.
Haupo uwezekano wa suala hili kuungwa mkono wakati linaziba mianya ya wapigaji wa humu humu ndani. Hii ni vita na waswahili wanasema maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge, na tunaanza kuyaoga muda sio mrefu ujao.